Even with leading and framework it doesn't work Bongo. Watu ni selfish sana hapa
Hakuna cha maana utafanya kwa jumuiya kikafanikiwa. Tuendelee kuwapigia makofi akina Mark, Kelvin et al.
Mobilization nimeifanya sana ma nimejitahidi kujaribu kuinua levels za dev wa home. Ila ni wajuaji, wabinafsi nk. So baada ya kuwa frustrated na mindset na ubinafsi nimeamua kufanya kazi za kampuni tu na nikiwa na extra time I go solo.
Niloanzisha Kasuku Media player ku train watu bure nikiwa kama lead dev. Wakakataa. Nikaja na idea ya kufundisha vyuoni software engineering kwa 0.1 ya price kampuni ikibeba 99.9 percent. Vyuo wakagoma kutoa madarasa wanafunzi nao wakaja wachache tu. Tulipomaliza nao darasa likafa. Tukaja na forum ya Teknocrats, alichokifanya mmoja wetu ni founders wanajua. Sitasema leo kwa kuwa sijaruhusiwa bado.
Ila wabongo tunalaumu serikali na wakati hata hao wanafunzi hawabebeki most of them. Few wenye moyo wamefunikwa.
Ushauri wangu ni sawa tu na wa Gurta, nenda kivyako. Kama unataka contributors usiangalie Bongo.
Btw Hosanna Studio inakuja kuna bugs za ku fix kabla ya Alpha version.
Project ManagementHosanna Studio: Tasklist