Nyinyi mna interchange mbili tu na huna aibu kuzungumza kuhusu expressway ambayo hamna na huwa mnaitazama tu kwenye runinga? Ikiisha mje Kenya kuenjoy expressway maana hamjui yenu itajengwa lini.
Tungekua tunatangaza miradi yetu yote kama wa Tanzania sijui ingekuaje. Kuna several stuff going on kimya kimya tu., our media ni kelele za covid na siasa za BBI na 2022 , no developmental journalism!
Kuna ujenzi ambao umekuwa ukiendelea, wa bwawa la Karimenu kule gatuzi la Kiambu. Mradi wa KES 23B ambao utakamilika mapema mwaka ujao na sijaona mkenya hata mmoja humu akiutaja utaja mradi huo. Mambo yanaendelea kimya kimya tu nchini Kenya, kama kawa.