Inaitwa Nairobi buana! Kwenye nyuzi za aina hii huwezi ukawaona majirani wakithubutu kuleta nyef nyef zao. Alafu mradi wenyewe unasonga kwa kasi ya ajabu, tena kimya kimya bila zile mbwembwe kama zao za kukata utepe na kuzindua zindua kila wiki.
Inaitwa Nairobi buana! Kwenye nyuzi za aina hii ndio huwezi waona majirani wakidhubutu kuleta nyef nyef zao. Alafu mradi wenyewe unasonga kwa kasi ya ajabu, tena kimya kimya bila zile mbwembwe kama zao za kukata utepe na kuzindua zindua kila wiki.
mradi sio wa kenya buana.. The investor wants to quickly finish the road and start collecting toll.. We all know how GoK projects delay and most dont get off the design papers.. Where is kimwarer and arror?

This is history. Very fast construction, it should feature it mega constructions documentary. Although western By pass has serious earthworks bana eish
Nyinyi mna interchange mbili tu na huna aibu kuzungumza kuhusu expressway ambayo hamna na huwa mnaitazama tu kwenye runinga? Ikiisha mje Kenya kuenjoy expressway maana hamjui yenu itajengwa lini.
Nyinyi mna interchange mbili tu na huna aibu kuzungumza kuhusu expressway ambayo hamna na huwa mnaitazama tu kwenye runinga? Ikiisha mje Kenya kuenjoy expressway maana hamjui yenu itajengwa lini.