Mkuu unapatikana wap? Naweza kuku guide ,for a small fee, in case you need guidance.Good. Can i learn myself without being taught by someone?
Which programming to start with?Yes you can
Kwa sasa Arusha, but Moro pia next month.Mkuu unapatikana wap? Naweza kuku guide ,for a small fee, in case you need guidance.
Web development nahitaji kujua nn na nn?Katika programming kuna field kadhaa kama ;
-web development
-application development
-database development
-game design
Nitaomba nirekebishwe kama nimekosea hapo juu au kama kuna field nimeiacha.
Swali langu ni kwamba mtu anaweza akajifunza field zaidi ya moja na akaweza kuzimudu kufanyia kazi au mtu anatakiwa kuwa specialist kwenye field moja tu?
Ngoja waje na mimi nataka kujuaWeb development nahitaji kujua nn na nn?
Napenda kujifunza application and database development. Nifanyeje?Inategemea unajifunza program kwa malengo yapi, ndo unachagua uanze na ipi
Sina uzoefu kabsa na haya mambo nilijaribu kujifunza kupitia youtube,If you want to be a programmer and you don't know which languages to study or to start with, worry out here is the list of the top programming language.
#7. C Programming
C program is a mother language, it begot others, it is the best language to start with for getting experience of running codes.
#6. Ruby
Ruby is the programming language from Japan, it become popular due to Ruby on Rails(Japan)
#5. Swift
Swift is the primary language for building iOS app, wheather for iPhone or iPad. Easy to get job since many companies need to build iOS app
#4. C++
C++ function as a block code that performs a particular task
#3. Java
Java is used to build Android apps. Many companies use Java frame works to create websites as well. It is more complex compared to other languages.
#2. Python
Python is popular. Many companies use it to create frameworks like Django and Flask.
#1. Java Script
Java Script has codes that runs on your browser like Chrome, Firefox and Bromite. Backend code runs on the server. Frontend code runs on the device(Phone or Laptop). It is simple and easy.
Click the link below to check also the video on youtube and please subscribe.
Wanashauri ni vizuri kupitia chuo au njia yoyote aliyoandaliwa rasmi ili kupata basic knowledge ya computing hii itasaidia katika kujifunza vizuri programming.Sina uzoefu kabsa na haya mambo nilijaribu kujifunza kupitia youtube,
Lakn nilishindwa hatua zwanzo kabsa.
Nilitamani hasa nijifunze hasa kwenye mambo ya apps! Kwa wenye uzoefu naweza jifunza peke yangu kupitia youtube kama ndio
Naomben njia nzuri nizifuate
Mbelen kukiwa na uzima...nimepanga nitaenda kula elimu kidogo kuhusu hizi vituWanashauri ni vizuri kupitia chuo au njia yoyote aliyoandaliwa rasmi ili kupata basic knowledge ya computing hii itasaidia katika kujifunza vizuri programming.
Machine learning & Artificial intelligence, Block chain technologies, Internet of Things, Data science etcKatika programming kuna field kadhaa kama ;
-web development
-application development
-database development
-game design
Nitaomba nirekebishwe kama nimekosea hapo juu au kama kuna field nimeiacha.
Swali langu ni kwamba mtu anaweza akajifunza field zaidi ya moja na akaweza kuzimudu kufanyia kazi au mtu anatakiwa kuwa specialist kwenye field moja tu?