Programming language

Programming language

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
829
Habari za humu ndani. Mimi ni kijana ninataka kujifunza plogramming na nnataka ku deal na complicated app za Android zinazoendesha miamala na website zinazoendesha miamala ya fedha. Ninaomba muongozo ni language gani nikisoma ninaweza kamilisha hizo zote mbili kwa kutumia lugha hio ntayojifunza ukizingatia sina mwangaza wowote juu ya plogramming ila naweza kutumia computer na simu kwa matumizi ya kawaida vizuri .pia lugha hio iwe ni
Rahisi kujifunza muda mfupi
Iwe ni lugha ntayojifunza mwaka 2018 na kuimaliza isiwe ndefu sana
Iwe ya kisasa
Pia kama ntapata na vitabu vyake au sehemu yenye materials za hio lugha

Nawasilisha shukurani zangu za dhati kwa wote mtaochangia
 
.pia lugha hio iwe ni
Rahisi kujifunza muda mfupi
Iwe ni lugha ntayojifunza mwaka 2018 na kuimaliza isiwe ndefu sana
Iwe ya kisasa
Duh, iwe rahisi? Mbona kama umeonyesha dalili za uvivu??? Anyways...

Kwa android applications jifunze JAVA au kotlin (I recommend java)

Kwa web development anza na HTML na css hizi ndio basic baada ya hapo utaamua uwe backend(usome php au python,uchague mojawapo alafu usome na framework yake) au front end developer(usome javascript na framework zake walau moja) ....

Yangu ni hayo mkuu...
 
Sio lazma iwe nyepesi kama unavyotaka kaka jua kazi ya miamala sio kitoto nahisi java pia nzuri ila zpo zngne Kali sabab java nshaisoma
 
Duh, iwe rahisi? Mbona kama umeonyesha dalili za uvivu??? Anyways...

Kwa android applications jifunze JAVA au kotlin (I recommend java)

Kwa web development anza na HTML na css hizi ndio basic baada ya hapo utaamua uwe backend(usome php au python,uchague mojawapo alafu usome na framework yake) au front end developer(usome javascript na framework zake walau moja) ....

Yangu ni hayo mkuu...
Je nikijifunza java nkaiweza nnaweza tengeneza android application na kuimaliza pasipo kujifunza lugha nyingine yeyoye?
 
Mi umenikatisha tamaa unapotaka uambiwe iliyo fupi/rahisi, kama upo serious jua hivo vitu ni muhimu sana na ni lazima mtu uwe dedicated, unaweza jifunza tu chini ya usimamizi na sio kama leisure
 
Je nikijifunza java nkaiweza nnaweza tengeneza android application na kuimaliza pasipo kujifunza lugha nyingine yeyoye?
Mbona unatia mashaka mkuu?? Kwa uoga huu utaweza kweli kiongozi!! Wala nisikudanganye, unapoongelea programming unaongolea ulimwengu wa kusoma na kujifunza bila kuchoka!!

Ukisha soma java (hapa utatumia muda mwingi kidogo) , kwenye kutengeneza apps lazima tena usome xml na android development yenyewe!!

Kwa kifupi baada ya kusoma java utasoma tena:

1. Android development yenyewe.

2. XML (kama unajua html inaweza isichukue muda)

3. Material design

Kwa hiyo sio kwamba ukisoma java ndio umemaliza kazi, bado kuna vingi vya kusoma na kama wewe ni mvuvi its either ubadilike au u quit!!!
 
Nashukuru kwa kunielimisha vizuri . kwa ushauri mzuri ambao mmetoa nimeamua kusoma kuanza na JAVA
Je ni wapi nnaweza pata vitabu na muongozo wa kuanza kusoma hata link ya kusoma java?
Pia software gani ninatakiwa kuwa nazo kwenye PC nnapojifunza?
 
Hii naikubali maana jamaa anafundisha as if uko darasani!
Java Tutorial For Beginners - YouTube

Kuna hii pia...
Java (Beginner) Programming Tutorials - YouTube
https://www.youtube.com/playlist?list=PLFE2CE09D83EE3E28
Kuhusu kitabu google "first heads Java pdf" hiki kiko simple na hakichoshi kusoma....

Kuhusu softwares utazo hitaji... kwenye hizo video zote wameelezea kinachohitajika!!!

Hii safari sio rahisi ila kama una nia utatoboa!!

Kila la heri mkuu
 
nashukuru sana. ngoja nianze course Mungu akinijaria ntaleta na mrejesho
 
Mkuu soma java for mobile development ni default kwa android.
Pia hata e-commerce web ni nzuri.
 
Back
Top Bottom