day huyu jamaa buana nkajua anatushushia heavy-dutyKatika karne hii Na ijayo Tukizungumzia hasa katika maswala ya Technologia ama Utandawazi Nimeona nizungumzie Baadhi ya programming language unazoweza kusoma kwa karne hii
1= C/C++
Hii hutumika sana katika kutengeneza GAME mbalimbali
Hii itasaidia sana kukuingizia kipato coz watu wengi hupenda sana kucheza Games haijalishi ni mtoto au mkubwa.
2=JAVA
Hii hutumika hasa katika kutengeneza Apps Mbalimbali za Android.Hii pia itakusaidia kukuingizia kipato. Ila hata C hutengeneza Apps japo hasa ni za IOS
hayo ni mawazo Yangu tu kama kuna mwenye wazo anaweza changia.
Ahsanteni.
Language nyingi syntax zinafanana so chagua moja ukijua basi rahisi kujifunza nyingine ila kama unataka kuwa deep c/c++ nzuriYote inategemea unataka ku achive nini! ila naungana na wewe python ni lugha rafiki kwa beginners haina complications kama c++, java n.k
pinyeeeeee
Html inatengeneza app gani?umesahau php na html
inatumika kutengeneza web pages na web application ikishirikiana na css and javascriptHtml inatengeneza app gani?
umesahau php na html
HTML sio computer programming language its a markup language.Html inatengeneza app gani?
HTML sio computer programming language its a markup language.
Sijajua mnaposema "app" mnamaanisha nini ila html haitumiki huko yenyewe inatumika kutengeneza framework au skeleton ya website then css na javascript ndio zinakuja kuiremba na kuweka muonekano mzuri wa website!!
Hamna website inayotengezwa bila html!!
Nimekupata mkuu na niliposema html nilimaanisha versions zake zote...!!Siku hizi HTML5 na AngularJS zinatumika kutengeneza mobile apps kupitia Ionic framework
Dah...kabla yake inabidi upige Plankalkรผl language ili upate mwanga mkubwa mbeleni ๐๐๐๐๐Nasikia python hii ni kwa beginner inawafaa sana blaza
Wewe ndio ungeleta hayo mavitu mkuuday huyu jamaa buana nkajua anatushushia heavy-duty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah...kabla yake inabidi upige Plankalkรผl language ili upate mwanga mkubwa mbeleni ๐๐๐๐๐
Php iko sana katika web and web apps development! Kama ni mpenzi wa web development endelea na php na wakati unasoma php unganisha na mysql itakua njema!! Usianze php then uende java au any other language....maliza na uifanyie mazoezi php ukiwa fresh ndio uendelee na language ingine!!!