Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano😛hython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.
Php iko sana katika web and web apps development! Kama ni mpenzi wa web development endelea na php na wakati unasoma php unganisha na mysql itakua njema!! Usianze php then uende java au any other language....maliza na uifanyie mazoezi php ukiwa fresh ndio uendelee na language ingine!!!Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano😛hython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.
Hii code haitorun ina error kwenye hiyo line.Soma java is the COBOL of this error....pia muhimu na backend languages.
String b=LearnJava;
System.out.println ("Nakushauri" + b);
Output
Nakushaurinull
Hii utajikita kwenye web programming hasa kwenye server side language, kuaccess databases. Ni ngumu kutengeneza natives apps kwa PHP.Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
javascript ni client side language kuifanya website yako kuwa na mvuto zaidi more interactives nk.ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano😛hython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Hiyo php utajikuta umebase kwenye mambo ya website pekee, lakini kwa soko jinsi lilivyo kwa sasa matumizi ya apps na internet kwenye simu hasa Android ni makubwa kuliko hata laptop ama PC hivyo hauna budi kupitia JAVA mkuu ili uwe na uwezo wa kutengeneza apps, pia java inaweza fanya fanya vingi ambavyo php inafanya.Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.
Sijaelewa unamaansha nini, ila katika computer languages zote python ndio simplest of all!!jaribu python kama we mwanaume
Yote inategemea unataka ku achive nini! ila naungana na wewe python ni lugha rafiki kwa beginners haina complications kama c++, java n.kNasikia python hii ni kwa beginner inawafaa sana blaza
Hizi ni computer languages au programming languages zinazotumiaka kuandika applications mbali mbali kwa ajili ya computer, simu au device yeyote!!Uzi umekosa nyama,tueleze kwa kirefu ili sisi tusio na utaalam tuelewe vizr
C/c++ maana ake nini?
Kwa kuongezea, C na C++ sio tu zinatumika kutengeneza ma gemu, zinatumiaka sana katika kutengeneza applications na systems kama hospitalin, hospitalini, zinatumika kwenye devices n.k pia zinatumika kutengeza virus wa komputa, operating systems kama windows, linux, mac os karibia zote zimetengenezwa kwa hizi languages...1= C/C++
Hii hutumika sana katika kutengeneza GAME mbalimbali
Hii itasaidia sana kukuingizia kipato coz watu wengi hupenda sana kucheza Games haijalishi ni mtoto au mkubwa.
Java imegawanyika kwenye sehem kuu tatu! yaani Java SE(core java), Java FX kwa ajili desktop applications, na Java EE kwa ajili ya web apps!2=JAVA
Hii hutumika hasa katika kutengeneza Apps Mbalimbali za Android.Hii pia itakusaidia kukuingizia kipato. Ila hata C hutengeneza Apps japo hasa ni za IOS