Programming hakuna mambo marahisi.
Ukurupuke usikurupuke no difference. Hakuna bra bra kwenye programming.
Programming languages zote ni nzuri ni uamuzi wako tu.
Siku moja utanielewa hiki ninachokisema.
Mimi ninafanya software development na database design. Kila siku vitu vinabadilika. Na kama unataka kusolve business problems ni lazima kila wakati unasoma.
Anza na programming language yeyote. Tofauti ya programming language ni syntax lakini concepts zina shabihiana.
Wewe ni mtu umeongea ukweli sana...ukigusa swift apple wanaisifia balaa ...ukigusa c++ au c wadau wake(a.k.a veteran) wataisifia balaa....ukigusa java wazee wake watakusimulia kila utamu.
Kila lugha ni nzuri...lakini kila kizuri kina ubaya pia aanze na lugha yoyote tu atakayoona inampatia stimu ya kuisoma.