God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
Salam ndugu zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa Computer science mwaka wa kwanza.
Nataka ku base kwenye mambo ya security, database, app development, web creation na upande wa server.
Mimi nataka mniambie ni language gani nzuri kwa ishu za security ili nikiunda mifumo niweze kuilinda vizuri isishambuliwe yani nataka langauge ambayo ime base kwa security.
Pia nataka language special mambo ya server sided nategemea kutengeneza database na website mbalimbali pia natakla niwe upande wa server ili niweze kuzi control vyema.
Pia naskia java ndio inatumiwa na Android ku develop Apps ila kama na C++ naimani hakishindikani kitu.
Nataka language kama tatu tuu kwa ajili ya app creation kulingana na vigezo vyangu hapo juu naombeni mnishauri zaidi kwa upana wapi niongeze juhudi na kipi nifanye.
Huku najua kuna senior Programmers so i need your help and advice before starting this journey.
Field gani ya IT inalipa vizuri na uhitaji wake ni mkubwa? graphics, app development, networking au.... hapa nako mkinielimisha ntawashukuru sana, Yes naweza vyote ila nahitaji kujua kipi kina maslahi mazuri ili nikiendee kwa kwa love na effort zote.
By the way nina background ya Java, JavaScript, Html, Css, nimeskia SQL iko poa kwa mambo ya database ila nahitaji ushauri wenu ndugu zangu maana sitaki kupoteza mda, napenda sana hii taaluma ya IT, nahitaji nguzo imara ili nisisome tuu ilimradi bali nisome kwa target/malengo na ndo maana naipigania hivyo basi kwa Neema za Mwenyezi-Mungu na jitihada zangu binafi na msaada mtakaonipa nina imani nitafanikiwa tuombe uzima tuu.
Have a nice day.