Bado una safari ndefu sana ya kujifunza, keep going...Jamii forum nisehemu ya kuelimishana. Swali langu kuuliza kuhusu facebook linajibiwa vizuri na hii link hapa Comparison of HTML parsers - Wikipedia
Angalia comparison za izo html parser angalia latest data za PHP -htlm parser napia angalia ability za php- html parser utajua kwanini hutakiwa mwambia mwanao asome hiyo language inayoenda kufa (Php)
Fundi mbovu hulaumu vifaa. Kwanza hakuna language ambayo imeundwa kufanya kila kitu. Kwa hiyo si lazima katika server utumie PHP. Unaweza kutumia chochote unaona kinafanya kazi vyema. Lakini kama nilivyoonyesha hapo juu, PHP huo uwezo inao na the fact kwamba hujui kuwa ina huo uwezo inasema zaidi juu ya level yako ya weledi na sio mwelekeo wa kufa wa PHP.Kaangalie java -HTML parser especially Jsoap na pia cheki python ndo utanielewa. Yani kama unategemea PHP unataka soma HTMl5 url kupata heading na images inakula kwako ila lang imara zinapeta tu.
Hata NodeJs sio silver bullet ya kila tatizo. Bado itafika sehemu unaweza kuhitaji lugha nyingine. Ndio maana ktk toolbox ya fundi hukuti nyundo pekee. Anajua kuna wakati anahitaji bisibisi na huwezi kukuta anaiponda bisibis eti haina faida kwa kuwa haiwezi kugonga kama nyundoNahuu mzuka waku migrate kwena Node.js ndo kabisa inapotea
Nadhani hapa ndio mzizi wa tatizo la wengi wenye fikra kama zako. Mmetumia PHP ka ajili ya websites tu ambazo mostly umetumia include, mysqli, pretty much that is all. Sina hakika kama ume deal na rich features za PHP. Kwa hiyo unakuta mtu hata haijui PHP kwa sababu haja deal na PHP zaidi ya kupapasa.Poor Php japo imenipa pesa za website kadhaa hahaha.
Ushauri mbovu kabisa. Angular na React ni front end JS frameworks huwezi kuziweka kundi moja na NodeJs ambayo ni SSL. Kwamba wapotezee PHP kwa sababu mbovu ulizozitoa juu? No way! Bado PHP ipo sana na ninashauri mtu akianza aanze na Python na ahakikishe anajua at least 2 Server Side (prefarably PHP na NodeJs but Ruby, Python, Java et al is fine) 1 SS Language that supports concurrency, 1 Language for each Mobile Platform, 1 desktop dev language, and as much frameworks in those languages as he can catch up.Mnaotaka soma languages mpya wekezeni kwenye JavaScript mambo ndo yaliko sasa (Angular, React , Cordova, node.js etc) potezeeni php kabisa
Ninachoona kwenye post yako ni utoto wa kisimba. Najua kadri unavyokua utaacha kebehi za kitoto na kuanza kuandika kama Msimba mtu mzima!Ila thanks mkuu kwa mchango. Within day nimeanza ona output na java.
Kuna mtu kaniwekea php apo juu sijui nifanye nini kwenye link , ilo alikuwa sio swali langu japo nashukuru kwa mchango asee
Without challenge no development. Nashukuru wote
Jamii forum nisehemu ya kuelimishana. Swali langu kuuliza kuhusu facebook linajibiwa vizuri na hii link hapa Comparison of HTML parsers - Wikipedia
Angalia comparison za izo html parser angalia latest data za PHP -htlm parser napia angalia ability za php- html parser utajua kwanini hutakiwa mwambia mwanao asome hiyo language inayoenda kufa (Php)
Kaangalie java -HTML parser especially Jsoap na pia cheki python ndo utanielewa. Yani kama unategemea PHP unataka soma HTMl5 url kupata heading na images inakula kwako ila lang imara zinapeta tu.
Nahuu mzuka waku migrate kwena Node.js ndo kabisa inapotea
Poor Php japo imenipa pesa za website kadhaa hahaha.
Mnaotaka soma languages mpya wekezeni kwenye JavaScript mambo ndo yaliko sasa (Angular, React , Cordova, node.js etc) potezeeni php kabisa
Ila thanks mkuu kwa mchango. Within day nimeanza ona output na java.
Kuna mtu kaniwekea php apo juu sijui nifanye nini kwenye link , ilo alikuwa sio swali langu japo nashukuru kwa mchango asee
Without challenge no development. Nashukuru wote