Kiongozi, umetisha sana, nina option tatu zakuondika hii kitu, Python, java na php lang ipi itanipa perfomance nzuri na best output.(RSS) Feed URL inacontain XML ambayo inaelezea kila post kwenye hiyo Blog au site ikoje eo Title, Description, URL, Picha etc so wanasoma hiyo XML na kuparse details zote kama kuna picha wanazidownload katika server zao kisha wanakuonyesha wewe katika App.
Jaribu kufungua hiyo feed URl kwenye browser utaona XML.
Facebook wanachukua URL uliyoweka wanaidownload na kuiparse kwenye server zao kisha wanachukua wanachofikiri ni relevant wanaweka kwenye post.
Kwakutumia php Au javascript unaweza ku regx url na kuibadilisha rangi so it very simple that way.( pre_replace(),regx().Kwenye web zakawaida ukiweka link it just turn blue and underlined, how are they achive this ndo kaukakasi apo? Au mnatumia nini wadau