Programmer karibuni hapa

Unaweza kuona ya kitoto ila ukiwa feald ndio utajuwa ni ya kitoto au ni ya kiume na utu uzima
Nikutibitishie dogo hiyo kazi ni ya kitoto mmno sema hujawa wazi inatakiwa ifanye kazi kwenye OS zipi lakini hata mtu mwenye kaujuzi kadogo ka PHP& MYSQL anaweza kuifanya
 
Nikutibitishie dogo hiyo kazi ni ya kitoto mmno sema hujawa wazi inatakiwa ifanye kazi kwenye OS zipi lakini hata mtu mwenye kaujuzi kadogo ka PHP& MYSQL anaweza kuifanya
Mie nataka watu niajiri kwenye kampuni yangu so kama unaweza njoo ufanye kazi tuone nini unaweza fanya uzuri wa programming sio Civics mkuu
 
Kumbe jamaa wanalamika bure, ila hawakuja PM basi sawa.
Si unajuwa vijana wa bongo mkuu, kwanza mtu anakuja anakwambia mie najuwa interface tu na ndio alichoshiriki kwenye project ya chuo sasa najiuliza unawezaje lalamika hakuna ajira ilihali coz uliosoma ndio hivyo tena hujui chochote
 
Kiongoz hii system Mimi tayari ipo
 
Hii system ipo Ila kigezo Cha kujiajiliwa hapo mkuu changamoto

Pitia ni hii hapa
www.e-shule.com
www.novaterrasolutions.com
 
Ok nami nahitaji mtu wa kumwajiri ili aje atengeneze system mkuu hii copy and paste kwangu ni ngumu kuipokea
Kaka nimekuelewa Sana nakupongeza lengo lako ni zuri Sana . Ngoja nimchek dogo akuchek private yupo vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…