Programmer karibuni hapa

Ninayo, nimeitengeneza mimi, inatumika na shule karibu 40 toka 2015. Inagusa kote ulikozungumzia plus staff database & payroll kasoro matumizi. Haigusi matumizi.

Tunachokifanya tunapopata mteja mpya tunai customize kwa mahitaji yake ili iendane na namna anavyoendesha shule yake. Unalipa one time fee, unawekewa mfumo na kufundishwa namna ya kuutumia. Hakuna malipo ya kujirudia.

Karibu PM
 
Sijui kama umeelewa mahitaji yangu sihitaji project ya kununua namtaka mtaalamu wa kumwajiri aje natengeneze nina project nyingi
 
Sijui kama umeelewa mahitaji yangu sihitaji project ya kununua namtaka mtaalamu wa kumwajiri aje natengeneze nina project nyingi
Nilidhani unaendesha shule na unahitaji hiko kitu.

Sawa mkuu, kila la kheri.
 
SYSTEM hiyo Ninayo mkuu, we wapatikana wapi?
 
Kama unataka nikuajiri uje ufanye na zingine sawa ila kama unaniuzia sitaki
Malipo ya ajira hiyo ni kiasi gani mkuu? 😊.

May be I'm a good fit on this task, and we can talk more out there!
 
Malipo ya ajira hiyo ni kiasi gani mkuu? 😊.

May be I'm a good fit on this task, and we can talk more out there!
Mkuu inategemea na umahiri wako maana ni kampuni inahitaji wafanyakazi na malengo ya kufanya maajabu kidogo kuna project za maana so malipo huendana na project ilivyo huwezi kudai nikulipe milion kwa project ya laki 2
 
Okay, mfano hiyo project ya laki mbili unaweza nilipa Tshs ngapi?
 
Mbona kama kazi ya kitoto sana hiyo hasa hiyo namba 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…