Kwa nnavyojua, kuhama course haiwahusu NACTE ila chuo ulichoomba.Mfano umeomba diploma ya Business administration CBE Sasa hujaipenda hiyo course unataka uhamie kwenye procurement and supply basi unaomba chuo ndicho kikupe nafasi kulingana na ufaulu wako kwenye hiyo course mpya.Hivi dirisha la kuhama kozi kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza lipo tayari au bado!? Na kama bado litakuwa wazi lini?