Programe ipi iko na soko zuri la ajira

Programe ipi iko na soko zuri la ajira

Mdogo wangu soma unachopenda utajua namna gani ya kuja kufanya baadae. Usifuate mkumbo au kwa kuwa umesikia kozi fulani ina soko au vipi. Kumbuka unaenda kusoma kwa miaka kadhaa je ukirudi mtaani ukikuta mambo tofauti...
 
Soma hii 'DOCTOR OF DENTAL' ukimaliza fungua kliniki zako anza kula maisha
 
Back
Top Bottom