davidson689 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 646 Reaction score 158 Apr 2, 2014 #1 Habari zenu Wadau, naomba mnisaidie kupata program ambayo itaniwezesha kuplot cordinates za GPS. Mfano umepima eneo uweze kuona boundaries zake n.k Asanteni sana
Habari zenu Wadau, naomba mnisaidie kupata program ambayo itaniwezesha kuplot cordinates za GPS. Mfano umepima eneo uweze kuona boundaries zake n.k Asanteni sana
ub16 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2013 Posts 420 Reaction score 317 Apr 2, 2014 #2 Program kwa ajili ya platform gani?!
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 521 Apr 2, 2014 #3 Kama unatumia iPhone, download iGPS utapata coordinate na vipimo vingine vyote muhimu kila point unayosimama
Kama unatumia iPhone, download iGPS utapata coordinate na vipimo vingine vyote muhimu kila point unayosimama
T tononeka Member Joined Nov 23, 2010 Posts 97 Reaction score 10 Apr 3, 2014 #4 Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker?
Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker?
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,506 Reaction score 11,439 Apr 3, 2014 #5 tononeka said: Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker? Click to expand... Vipo vingi tu. Hata smartphone, unaweza kuitumia kwa namna hiyo, ingawa zipo GPS special kwa ajili hiyo, hata pale Mlimani City (Game).
tononeka said: Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker? Click to expand... Vipo vingi tu. Hata smartphone, unaweza kuitumia kwa namna hiyo, ingawa zipo GPS special kwa ajili hiyo, hata pale Mlimani City (Game).
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 Apr 3, 2014 #6 BaseCamp MapSource download ni free zinatumiwa sana kwenye Garmin GPS.. kama alivyoshauri mdau mlimani city zipo zinauzwa
BaseCamp MapSource download ni free zinatumiwa sana kwenye Garmin GPS.. kama alivyoshauri mdau mlimani city zipo zinauzwa
limbunju Member Joined Aug 8, 2011 Posts 28 Reaction score 3 Apr 4, 2014 #7 hem cheki autocad civil 3d pia hauja andika hiyo program ni ya pc au phone.bt kama ni ya pc jaribu hiyo au autodesk land scape.
hem cheki autocad civil 3d pia hauja andika hiyo program ni ya pc au phone.bt kama ni ya pc jaribu hiyo au autodesk land scape.
davidson689 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 646 Reaction score 158 Apr 4, 2014 Thread starter #8 ub16 said: Program kwa ajili ya platform gani?! Click to expand... Kwa ajili ya kupimia viwanja na maeneo mbalimbali.
ub16 said: Program kwa ajili ya platform gani?! Click to expand... Kwa ajili ya kupimia viwanja na maeneo mbalimbali.
davidson689 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 646 Reaction score 158 Apr 4, 2014 Thread starter #9 Brakelyn said: Kama unatumia iPhone, download iGPS utapata coordinate na vipimo vingine vyote muhimu kila point unayosimamaView attachment 148758 Click to expand... asante mkuu
Brakelyn said: Kama unatumia iPhone, download iGPS utapata coordinate na vipimo vingine vyote muhimu kila point unayosimamaView attachment 148758 Click to expand... asante mkuu
davidson689 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 646 Reaction score 158 Apr 4, 2014 Thread starter #10 Maganga Mkweli said: BaseCamp MapSource download ni free zinatumiwa sana kwenye Garmin GPS.. kama alivyoshauri mdau mlimani city zipo zinauzwa Click to expand... asante mkuu wacha ni niifanyie kazi hii.
Maganga Mkweli said: BaseCamp MapSource download ni free zinatumiwa sana kwenye Garmin GPS.. kama alivyoshauri mdau mlimani city zipo zinauzwa Click to expand... asante mkuu wacha ni niifanyie kazi hii.
davidson689 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 646 Reaction score 158 Apr 4, 2014 Thread starter #11 limbunju said: hem cheki autocad civil 3d pia hauja andika hiyo program ni ya pc au phone.bt kama ni ya pc jaribu hiyo au autodesk land scape. Click to expand... Asante mkuu ni ya pc, wacha niitafute.
limbunju said: hem cheki autocad civil 3d pia hauja andika hiyo program ni ya pc au phone.bt kama ni ya pc jaribu hiyo au autodesk land scape. Click to expand... Asante mkuu ni ya pc, wacha niitafute.
T tononeka Member Joined Nov 23, 2010 Posts 97 Reaction score 10 Apr 4, 2014 #12 Mlimani city vinauzwaje?