Program ipi ni nzuri kwa ajili ya kuedit picha kwenye simu au PC

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,519
21,433
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Ninaomba msaada wa majina ya applications nzuri kwa kuedit picha either kwenye PC au simu ya android, mfano cover za simulizi nk.

Niwatakie utimizaji mwema wa majukumu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom