peter kasanga
Member
- Jun 1, 2017
- 49
- 9
Msaada n program gani inatumikabkutengeneza social network app
Hakuna mkuu...Msaada n program gani inatumikabkutengeneza social network app
vyuo vipo mkuu cha msingi ni nia tuKama na Elimu ya darasa la 7 na miaka 35 naweza kupata chuo cha IT nikajifunza na nikaja kuwa mtu hatari kwenye masuala ya compyuter?
Ipo ndani ya moyo sema majukumu ya maisha yamekuwa meng sasa namda wa kutosha.
Na unatumia system gan kuchapa izo code na je nkitumia tutorial za youtube swezi elwaHakuna mkuu...
Watu wanachapa code mwanzo mwisho ila unaweza pata script za bure za kutengeneza kitu kama facebook au twitter
Unatumia system gan kuchapa izo code na je nkitumia tutorial za youtube siwezi elewakazi za watu hizo boss yani hapo lazima uanze from the scratch uchore codes mwanzo mwisho. ila kama una idea nzuri ongea na developer akutengenezee then uinvest mpige pesa. Ila kama unajifunza basi nenda chuo upate maujanja zaid from A to Z
Mkuu kwanza inategemea unataka kutengeneza app ya nini mfano ya simu za adroid au iphones au wataka web apps.Na unatumia system gan kuchapa izo code na je nkitumia tutorial za youtube swezi elwa
Kwa android pia baada ya kujifunza java utahitaji software development kit sdk na kitu kama android studioNa unatumia system gan kuchapa izo code na je nkitumia tutorial za youtube swezi elwa
Vipi unaifahamu "xcode" nimeona youtube wanaitumia kutengeneza social network appMkuu kwanza inategemea unataka kutengeneza app ya nini mfano ya simu za adroid au iphones au wataka web apps.
Itabidi ujifunze programming languages mfano swift & C# kwa iphone apps au java kwa android.
Kuna python, c++, msql, java script, php n.k
So kwanza ujue wataka fanya nini uchague language uanze kujifunza hata via youtube kwa language nyingi utahitaji compiler nyingne utahitaji server yan ugeuze pc yako kuwa server ni kitu easy tu.
Lakini inahitaji commitment na usikate tamaa na mazoezi sana usitegemee eti ujifunze ndani ya mwaka mmoja uje tengeneza kitu kama whatsapp au fb.
Mkuu Xcode ni Intergrated ddevelopment environment (IDE) kwa ajili ya kutengenezea apps na softwares kwa ajili ya platforms za apple kama Mac Os, ios, saa zao na apple Tv. ina support programming languages kibao kama C, C++, Objective-C, Objective-C++, Java, AppleScript, Python,Ruby, Rez, na Swift source code na nyingine nyingi.Vipi unaifahamu "xcode" nimeona youtube wanaitumia kutengeneza social network app
So netbeans na xcode ipi iko poa sanaMkuu Xcode ni Intergrated ddevelopment environment (IDE) kwa ajili ya kutengenezea apps na softwares kwa ajili ya platforms za apple kama Mac Os, ios, saa zao na apple Tv. ina support programming languages kibao kama C, C++, Objective-C, Objective-C++, Java, AppleScript, Python,Ruby, Rez, na Swift source code na nyingine nyingi.
Kwa hiyo ile ni kama editor tu ya kuchapa codes na inakusaidia kudebug, pia inakuwa na compiler pamoja na intepreter.
Yani Xcode ni software yenye tools zinazokusaidia kutengeneza apps na softwares.
IDE zipo nyingi tu mfano NetBeans na Eclipse na nyingine nyingi
Napia netbeans , xcode na eclipse zote znatengeneza social network appSo netbeans na xcode ipi iko poa sana
Eclipse , xcode na netbeans zote znaweza kutengeneza social network appMkuu Xcode ni Intergrated ddevelopment environment (IDE) kwa ajili ya kutengenezea apps na softwares kwa ajili ya platforms za apple kama Mac Os, ios, saa zao na apple Tv. ina support programming languages kibao kama C, C++, Objective-C, Objective-C++, Java, AppleScript, Python,Ruby, Rez, na Swift source code na nyingine nyingi.
Kwa hiyo ile ni kama editor tu ya kuchapa codes na inakusaidia kudebug, pia inakuwa na compiler pamoja na intepreter.
Yani Xcode ni software yenye tools zinazokusaidia kutengeneza apps na softwares.
IDE zipo nyingi tu mfano NetBeans na Eclipse na nyingine nyingi
Na kama inawezekana nitumie namba akoMkuu Xcode ni Intergrated ddevelopment environment (IDE) kwa ajili ya kutengenezea apps na softwares kwa ajili ya platforms za apple kama Mac Os, ios, saa zao na apple Tv. ina support programming languages kibao kama C, C++, Objective-C, Objective-C++, Java, AppleScript, Python,Ruby, Rez, na Swift source code na nyingine nyingi.
Kwa hiyo ile ni kama editor tu ya kuchapa codes na inakusaidia kudebug, pia inakuwa na compiler pamoja na intepreter.
Yani Xcode ni software yenye tools zinazokusaidia kutengeneza apps na softwares.
IDE zipo nyingi tu mfano NetBeans na Eclipse na nyingine nyingi
Mkuu inawezekana ila inabidi uwe unajua one of the programming language ili kufanya coding kwenye hiyo IDE.Eclipse , xcode na netbeans zote znaweza kutengeneza social network app
Nitumie bas namba yakoMkuu inawezekana ila inabidi uwe unajua one of the programming language ili kufanya coding kwenye hiyo IDE.