Profile zetu hapa JF very interesting and confusing sana!

Ha haaa
 
Hahaha huna akili kumbeπŸ˜‚
Sizitaki kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚unajua ukiwa huna akili unaishi bila stress? Maana hufikiri kesho yako wala yajayo wewe ukila zako wali ukashiba unawasha Azam Tv ni tamthilia...Sio kuanza kufutilia DSE sijui hisa zimepanda ,zimeshuka sio mambo yako..Ila nataka mwanaume mwenye Akili sasa!
 
Hahaha pole sana...
Wanasema huwa ni perfect combo ila kwangu nooo
 
Watu tusirudi likizo 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…