secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,759
- 47,622
Kama mmatumbi lazima nihare nikisikia jamaa yangu kapiga stepu.Tumbo la kuhara linawapata wamatumbi wakisikia umepiga kahatua kidogo mbele yao , sasa kuwa nnje ya nchi nayo ni stori ya kupanic au ni uzumbu kuku tu
MKaribu sana
Njoo kaunta nimevaa gauni la yangaNipo hapa mwanga bank.
Nimevaa shati kubwa la njano na miwani nyeusi Na zile kofia za kichagga.
Chini nimevaa kipensi kifupi kipana. Na raba za kijani.
Upo kwa wapi
M
Bwashee umelewa 🤣 🤣... Nipo kibosho kombo nakunywa gongo babanguuuuTumbo la kuhara linawapata wamatumbi wakisikia umepiga kahatua kidogo mbele yao , sasa kuwa nnje ya nchi nayo ni stori ya kupanic au ni uzumbu kuku tu
Hahaha gongo kipengele bwasheeBwashee umelewa 🤣 🤣... Nipo kibosho kombo nakunywa gongo babanguuuu
Ukisikia ana pata shida , ni apeche alolo yupo huko namtumbo ndanindani anauza miguu ya kuku?Kama mmatumbi lazima nihare nikisikia jamaa yangu kapiga stepu.
Acha kunisema mangi 😅.Ukisikia ana pata shida , ni apeche alolo yupo huko namtumbo ndanindani anauza miguu ya kuku?
Masikio ya wamatumbi wengi yapo tayari kusikia mambo negative zaidi kuliko positive bwasheeAcha kunisema mangi 😅.
Kweli kabisa. Niliposikia baba Manka kanunua IST nilianguka kwa presha.Masikio ya wamatumbi wengi yapo tayari kusikia mambo negative zaidi kuliko positive bwashee
Ndio maana inabidi msikie mnachopaswa kukusikiaKweli kabisa. Niliposikia baba Manka kanunua IST nilianguka kwa presha.
😂 Dah!Ndio maana inabidi msikie mnachopaswa kukusikia
social envy, kuna nama mtu akisema yupo ulaya au America, ina gusa ego ya wamatumbi wengi😂 Dah!
Kila mmoja aliko atajua mwenyewe
Profile yake ni sawa sawa na ulivyo... Msalimie pacha...Kila mmoja aliko atajua mwenyewe
Nikimfikishia salamu niitwe mbwakoko nimekaa paleeeeeeeeeeeeProfile yake ni sawa sawa na ulivyo... Msalimie pacha...
Yule shemeji yangu, siwezi kumfanya chochote...Nikimfikishia salamu niitwe mbwakoko nimekaa paleeeeeeeeeeee
Amechachuka kweli nowadays 🤣Ila wewe aliyekufundisha kupost nyuzi humu Jukwaani ashitakiwe tu.😅