Kumbe ni wa Rombo yule? 🤣Karibu hapa rombo mkuu tupate kilaji kwao na secretarybird
MikindaniWewe ndio uko wapi vilee
Huyo tumeshazoea ni mtoa like tu humuIla wewe aliyekufundisha kupost nyuzi humu Jukwaani ashitakiwe tu.😅
chasaka aliyekulia rombo 😂Kumbe ni wa Rombo yule? 🤣
Kwa hio kuwa mnyonge hapa ni kupenda mwenyewe sio.Tunabadilika kulingana na mazingira, zikija mada za magari wote tunasukuma LC, zikija kama za Tanesco ndio hivyo tupo migombani na milimani...
....jf yenyewe imeruhusu tutengeneze profile zetu vile tunataka.
Tatizo mnaweka moyoni vitu vya JFJana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua, mtimbira, mpitimbi huko, nk nk.
Ila tukirudi kwenye profile fulani from uk, fulani from Michigan, fulani from Munich, from Italy nk nk.
Mna tunachanganya lakini!!
Jumapili nzuri kwa wote.
Duuh jana nilikuwa hapo hapo kwenye tamasha hilo la kihistoriaMikindani