sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Habari zenu watu wa Mungu, jamani naomba mnifahamishe napenda kujua account yangu bado inasomeka hivi inamaanisha nini ndugu nisaidieni. Ahsante
Niliomba mapema sana mkuu tare 10/8/2016 UDOM pale paleuliomba diploma awamu ya ngapi au ya udom
vipi SODOKA umeokoka?uliomba diploma awamu ya ngapi au ya udom