Professor Ndulu akaidi agizo la Rais Magufuli

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Mpaka sasa ni zaidi ya masaa 32 tokea Gavana Ndulu apewe agizo la kupunguza wafanyakazi. Ila kwa dharau na cha kushangaza hakuna aliyepunguzwa mpaka sasa wakati list ipo wazi kabisa....

Rais Magufuli, tunaomba ufatilie hili suala tena. Ndulu anafikiri we ni mtu wa maneno na sio kutenda..... Wananchi wote tunajua ya kwamba kauli ya Rais ni agizo kwa ngazi husika....

Haiwezekani zaidi ya masaa 32 mkuu wa taasisi anashindwa kutekeleza agizo la Rais....
 
elimu.elimu.elimu ndio sera ya edo na tatizo hili alishaliona ndio maana akataka watz wapate elimu kwanza
mambo mengine ni ya kitaalam na si kutimuana tu kama kijiwe cha kahawa
 
Mpaka sasa ni zaidi ya masaa 32 tokea Gavana Ndulu apewe agizo la kupunguza wafanyakazi. Ila kwa dharau na cha kushangaza hakuna aliyepunguzwa mpaka sasa wakati list ipo wazi kabisa....

Rais Magufuli, tunaomba ufatilie hili suala tena. Ndulu anafikiri we ni mtu wa maneno na sio kutenda..... Wananchi wote tunajua ya kwamba kauli ya Rais ni agizo kwa ngazi husika....

Haiwezekani zaidi ya masaa 32 mkuu wa taasisi anashindwa kutekeleza agizo la Rais....
acha mambo ya kijinga, unadhani hao ni makarani wa NIDA? zipo hatua za kufuata kabla ya kumwondoa mfanyakazi kwenye payroll, kumbuka katika hiyo list wapo wagonjwa wabunge na watumishi walioenda kuiwakilisha nchi katika mashirika ya umoja wa mataifa.
 
Kauli ya Rais ni agizo.... Kwani Rais alikuwa hajui kuna hatua za kufata....
 
Zitto huko ACT yeye ndo mfalme .najua inawauma sana Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa .
Tunasema mtu ni mfalme/ dikteta ikiwa
1. Hana ukomo wa madaraka
2. King'ang'anizi na hataki kutoka madarakani
3. Haamini katika katiba hata kama kuna kipengele kinaonesha ukomo wa madaraka
4. Yeye ndio yeye hakuna mwingine mwenye uwezo wa kuongoza

ACT ina katiba yake na inaelezea kuhusu ukomo wa madaraka....zitto hata mwaka hajafikisha.....hivyo hatuwezi kumpima kwa vigezo tajwa hapo juu

Kwa kuwa Sultan Mbowe ameongoza chadema kwa muda mrefu, na mpaka akadiriki kubadili katiba ili aendelee kuongoza.....anapaswa kupimwa kwa vigezo tajwa hapo juu.

Hivyo Sultan Mbowe hana tofauti na Kagame, Museveni, Mugabe na Nkurunzinza.....

Ukweli ndio huo
 
Punguza mchecheto swala la kuondoa majina ya wafanyakazi hewa ni rahisi Ila kupunguza wafanyakazi halali wa bot ni lazima wakae na kujadili sababu wana haki zote
 
Agizo la mh JPM limepuuzwa wazi wazi kabisa. Nimeskia kuwa NMB ma CRDB kwa pamoja wana matawi zaidi ya 100 nchi nzima lakini wafanyakazi hawazidi 1500 ila BOT ina matawi matano na wafanyakazi karibu 1400. Mkuu Lizaboni tafadhali fuatilia kadhia hii na utuletee taarifa mujarabu kama kawaida yako
 
Tunasema mtu ni mfalme/ dikteta ikiwa
1. Hana ukomo wa madaraka
2. King'ang'anizi na hataki kutoka madarakani
3. Haamini katika katiba hata kama kuna kipengele kinaonesha ukomo wa madaraka
4. Yeye ndio yeye hakuna mwingine mwenye uwezo wa kuongoza

ACT ina katiba yake na inaelezea kuhusu ukomo wa madaraka....zitto hata mwaka hajafikisha.....hivyo hatuwezi kumpima kwa vigezo tajwa hapo juu

Kwa kuwa Sultan Mbowe ameongoza chadema kwa muda mrefu, na mpaka akadiriki kubadili katiba ili aendelee kuongoza.....anapaswa kupimwa kwa vigezo tajwa hapo juu.

Hivyo Sultan Mbowe hana tofauti na Kagame, Museveni, Mugabe na Nkurunzinza.....

Ukweli ndio huo
Mbowe alitakiwa kuachia uongozi mwaka 2014 baada ya kumaliza vipindi viwili vya miaka mitano. Halafu CHADEMA wanakuwa wa kwanza kukosoa vyama vingine, wakati lile neno demokrasia lililopo kwenye kifupi cha jina la chama likiwakilishwa na DE, wanashindwa kulitendea haki. Wanamcheka mtoto wa jirani kwa sababu anavuta bangi wakati mtoto wao ni teja tena yule mchafu.
 
acha mambo ya kijinga, unadhani hao ni makarani wa NIDA? zipo hatua za kufuata kabla ya kumwondoa mfanyakazi kwenye payroll, kumbuka katika hiyo list wapo wagonjwa wabunge na watumishi walioenda kuiwakilisha nchi katika mashirika ya umoja wa mataifa.
Heeee hata yule mbunge hadi leo alikua analipwa? Haya majina kwann yasiwe hadharani maaana watu wamekazana na watoto wa vigogo tu
 
Back
Top Bottom