Professor Mtanzania kaajiriwa kama dereva Ubalozi wa Kenya Marekani

Jamni itakuwa interejensia hiyo tena muongee kwa sauti ndogo wakenya wasisikie!
 
Le profeserii! Daa kaamu kuwa suka?sio bure kuna jambo lipo nyuma ya hii ajira yake.
 
Katika kile kinachoibuka kama malalamiko ya utaifa,imefahamika kuwa Profesa Raymond Rugemalira wa Bukoba,Tanzania ameajiriwa kama dereva katika ubalozi wa Kenya nchini Marekani. Malalamiko hayo yametolewa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Kenya, Ndugu Ouko.

Imeelezwa kuwa Prof. Rugemalira pamoja na raia mwingine wa kigeni waliajiriwa haraka huku madereva raia wa Kenya wakiachishwa kazi kwa sababu mbalimbali. Profesa ameajiriwa kama dereva!?

Chanzo: www.standardmedia.co.ke/mobile/article
 
Usiliangalie kwa jicho la Prof kuwa dereva.
Wanachosema ni mtanania kuwa mfanyakazi wa ubalozi wa kenya inaweza kuwa kiusalama halina uhakika. Kwanini ajishushe mpaka dereva? Inalipa kiasi gani? Ni profesa kweli au hii ya maji marefu?
 
Huyo katumwa na nchi kwa niaba yetu huu mwaka wakenya hatakua na chao tena
 
halafu huyohuyo anakuja kufunga kamba alikuwa profesa miaka ishirini marekani, mpe ofisi anapigaje hela! ila ukweli kuna wasomi wengi wako mtoni walishapinda na wanaona aibu kurudi home mikono mitupu bora afe kibudu ulaya. yupo prof mwingine kutwa nzima kujitapa oh nilikuwa boss wa magheto ulimwenguni tukampa ofisi aliyotufanyia anajua JK.
 
Huwezi kupata uprofesa kwa kusoma darasani. Unapata kwa kufundisha na kufanya utafiti.

Sasa utafanyaje hayo kama huna kazi? Tena field yenyewe telecom engineering .

Labda kastaafu na hiyo ni part time tu.
 
Kenya wanajidanganya kuwa wamempa ajira Prof wa Tanzania lakini hawajui kama yupo kazini huko Kenya.
 
Duh!! Hizi dharau sasa!!!
siyo dharau mzee . Huyo atakuwa kwenye kitu kinaitwa mafichoni (kwa waliobobea kwenye intelejensia).
Unajua kenya ni rival wetu kwa mambo mengi. siyo jambo la kushangaza ukiona mtu mmbobezi anafanya kazi ya kufagia Mkuu.
 
Back
Top Bottom