Hahahah daah yaani hapa nafurahi tu. Jaribu kufafanua swali lako na tupate haswa ni kitu gani unajaribu kusema hapa. Pili kama utajua hilo uan ajenda gani? kumuingiza katika label yako?
BTW wasanii wengi wa Bongo hawana label [Haswa wasanii wakubwa] na kitu wanachofanya ni kurekodi kazi zao kwa maproducer tofauti, kuzikusanya katika CDz as masters kisha kwenda zitupa kwa wahindi wakaibiwe!