Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,756
09.04.2018 tutawajua woteHao wazee ndio walikuwa wanakata mauno ya kanda bongoman kipindi kile na katitu pia Mshanajr anaijua katitu.
Ila leo wanajifanya wanajua sana maadili wakati ukifuatilia familia zao utakuta wamelala na mahausigelo wao
kwani shonza naye ana miaka mingapi..shonza si 30 tu..aseme tu ni uwezo mdogo wa shonza ndio yalipekelekea yote hayo
Mbunge wa Mikumi, Muheshimiwa Joseph Haule au Professor Jay amefunguka na kusema tatizo linalosababisha kufungiwa kwa wasanii na kazi zao mara kwa mara ni kuwepo kwa mrundikano wa watendaji waliopitwa na wakati "madingi" huko BASATA.
Showbiz Xtra: Hivi karibuni pia kulikuwa kuna majibizano kati ya Diamond na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, kama sakata hili ulilifuatilia una maoni gani?
Professor: Sitazungumzia sana kuhusu mvutano wao lakini nitatoa maoni yangu kuhusu kinachosababisha haya yote.
Mimi ninaona tatizo lipo Basata. Wapo watendaji ambao wamepitwa na wakati.
Ndiyo wanaosababisha kazi za wasanii kufungiwa mara kwa mara.
Sasa kuna haja kwenye baraza hilo wawekwe vijana ambao wanafahamu nini kinafanyika katika dunia ya leo, hili litasaidia na hakutakuwepo kwa malalamiko kama hayo ya Diamond.
Shonza ni BASATA??kwani shonza naye ana miaka mingapi..shonza si 30 tu..aseme tu ni uwezo mdogo wa shonza ndio yalipekelekea yote hayo
Wengine ndugu zao wa damu ni wasagwaji suguukifuatilia familia zao utakuta wamelala na mahausigelo wao
Shonza ni mingapiNapenda hata president awe kwenye miaka ya 40's under 50 na mwenye exposure ya kutoka.maybe kutakuwa na mabadiliko fulani ya nchi. Wanapachikwa uongozi watu wale kwa wale wanatolewa sehemu moja na kuwekwa sehemu nyengine
Wengine ndugu zao wa damu ni wasagwaji sugu
Uko utube kuna video mwakyembe anawapatanisha kisela mondi na shonza hasa ukizingatia mondi anaenda kupafom word cup uko russia, simba ni baloz wa kwelikwelimwakyembe Na Juliana Shonza ni zigo la misumari kwa wasanii
Nna wasiwasi shonza ni shabiki wa ile tim pinzankwani shonza naye ana miaka mingapi..shonza si 30 tu..aseme tu ni uwezo mdogo wa shonza ndio yalipekelekea yote hayo