Professional Beggars!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakuu,samahani kwa kichwa kuwa katika lugha ngeni

Ni kuwa hivi sasa kumeanza kuibuka kasumba ya watu tena wasomi kuomba fedha za miradi kutoka kwa wafadhili(lazima iwe ni kutoka nje ya nchi) kwa ajili ya labda Yatima,ukimwi,mazingira,nk kupitia kwa kitu kinachoitwa NGO au CSO

Hata hivyo licha ya kwamba fedha hizo hazioneshi kuleta mabadiliko katika jamii lakini hivi sasa KASI ya watu kuomba fedha kutoka kwa wafadhili imekuwa ni kubwa sana.

Na sasa mtu anayeanndika mradi ukapata fedha nyingi anaonekana ni mjanga mkweli,mbunifu nk.

Kwa maoni yangu,watanzania tumekuwa omba omba wa kutupwa tena kuzidi hata omba omba wa sh 100 barabarani kwani ikitokea miujiza 'writeps' za watu zinakaswa tunaweza kujaza magunia na magania.

Wenzangu mnasemaje
 
we wataka wakae barabarani wakuombe? wacha waombe make hizo ni pesa zetu angalau tupate return kidogo!:wink2:
 
Back
Top Bottom