Mkuu tumia KASPERSKY 2011 hii ni kiboko sana. download angalao Trial version yake iko vizuri sana na wana ka tool kakuondole virus ambako ni free AVPTOOL
Wakuu naomba kwa yeyote aliyewahi kutumia professional antivirus software na free antivirus software (mfano avast) kwa nyakati tofauti, je kuna utofauti mkubwa sana kati ya hizo mbili kwenye kuprotect computer kwa matumizi ya mtu binafsi ? Pia naomba mnitajie the best antivirus software kwa sasa kwa mujibu wa uzoefu wenu, thanx.
Free inatosha. Microsoft Security Essentials ndo ninayoipenda zaidi.
Ok mkuu nikifanikisha nitakutafuta