Profesor Joseph Haule kumbe aliona mbali ..

Profesor Joseph Haule kumbe aliona mbali ..

kyatamato

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
387
Reaction score
269
Nimekumbuka baada ya kusiliza nyimbo mbili alizoimbaga zamani kidogo
..Kuna wimbo aliimba unaitwa ..Ndio Mzee..
Na ule sio mzee...nimezikumbuka sana naomba wadau msikilize hizo nyimbo ..nataka niziweke hapa ila nimeshindwa
 
Hakuona Mbali Alielezea Tu Hali Halisi Ni Kama Roma Mkatoliki Kwenye Mathematic Anaposema "bandugu Bwaga Manyanga Ayaokote Magufuli'aliimba Tu Ila Hakujua Mrithi Wa Kikwete Ni Magufuli Ni Mambo Tu Yaliyopo Labda Yapo Kwa Mda Mrefu.
 
Sijui ilikuwaje nikaangusha kura yangu kwa huyu jamaaa leo wanasema anajua anaweza ndo mana akachukua form wakati wana nchi ndo tumwemweka hapo so disappointed
 
BTW Prof ako na track mpya inaitwa KIBABE. ni nzuri kama kawaida yake. ukipata muda isikize pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom