huku nilipofikia mitaa ya kitangiri mza umeme haupo sasa hivi na kila siku unakatika jioni saa moja unarudi saa 5 usiku au na wewe prof. Ulikwenda oman ukaacha mambo yanakwenda kombo wizara haina rubani ,au umelishwa limbwata la ccm anza kuvaa magwanda ya kijani tujue mojanimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya waziri wa nishati na madini mh prof. Sospeter kuwa mgao wa umeme haupo na hautakuwepo katika tanzania hii.
Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.
La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya korogwe mkoani tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.
Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii.
Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.
La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia Tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, Karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.
Jamani anachosema professor ni kuwa hakutakuwa na mgao rasmi utakaotangazwa na Tanesco au Wizara.Lakini mgao usio tangazwa utaendelea kuwepo na upo.Hilo ni kwa sababu mpaka leo hatuja ongeza generation sasa tutatatua vipi tatizo la umeme.Mgao utaisha vipi ikiwa kila kitu kiko vile vile?Katika mashirika muhimu lakini hovyo kabisa ni TANESCO!!!! Labda waje malaika kuongoza ndiyo litabadilika.
kule tanesco ni kama simba na yanga,wanajua fitina za kumharibia kiongozi mzuri! wako tayari kulihujumu shirika lao kwa kiwango chochote mpaka kiongozi huyu ang'oke,sijui wakoje mafundi wale.dawa ni total overhaul na kufanya ajira upya pale.ikiwezekana waruhusiwe wawekezaji wengine wafanyekazi sambamba na wao.kuna wafanyakazi wamejisahau mpaka wanadhani wanatugawia uhai watanzania na siyo umeme.
Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii.
Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.
La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia Tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, Karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.
Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii.
Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.
La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia Tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, Karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.[/QUOTE
Kwa leo wameshatolea ufafanuzi kuwa kanda ya kaskazini itakuwa chini mpaka jioni wanamatengenezo kwenye line kubwa kati ya Ubungo na chalinze!Hivyo katafute sehemu yenye "Genereta"