Profesa Safari kuwasha moto Arusha

Profesa Safari kuwasha moto Arusha

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,378
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!
PEOPLE'S - POWER
CHADEMA - VEMA

Nini: MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA (W) YA ARUSHA MJINI

Wapi: KATA YA NGARENARO, VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI NGARENARO

Waalikwa: Wanachama,Wapenzi, Wafuasi wa CHADEMA & Wananchi wapenda mabadiliko

Lini: Ijumaa tar 05-06-2015

Muda: 8:00 mchana-12:00 jioni.

Wahutubiaji: GODBLESS J. LEMA (MB), MAKAMU M/KITI BARA PROFESA ABDALLAH SAFARI , MWENYEKITI WA BAWACHA (T) HALIMA JAMES MDEE (MB), JOSEPH HAULE aka PROFESA J aka The Heavy weight MC, Wabunge 13 wa Kanda ya Kaskazini akiwemo PHILEMON NDESAMBURO, GRECE KIWELU, LUCY OWENYA, JOSHUA NASSARI, PAULINE GEKULU, CECILIA DANIEL PARESO, JOSEPH ROMAN SELASINI, MCH ISRAEL YOHANE NATSE, JOYCE MUKYA, REBECA MNGODO,

Wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria bila kukosa

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasilianao.
WILAYA YA ARUSHA MJINI
chademaarushamjini@gmail.com
 
Ubarikiwe sana kwa habari hii ya ukombozi
 
Hii ndio maana halisi ya Pipozzzz
 
Tutakuja kamanda. Chadema imara daima. Na hapa ndo kitovu cha mabadiliko Tanzania
 
Hii ndio Arusha,

Hii ndio Chadema.

kesho ndio kesho, habebwi wamasai na malori toka Monduli, wala nani toka huko waliko. Ila makabila yote 124 yatakuwepo, dini zote zitakuwepo, pikipiki, magari, farasi, kila mnyama kasoro fisi.

Sijui watapanda zao gani leo usiku kwenye uwanja wa ngarenaro vile....

NB:
Namuomba Mbunge wa munduli Waziri mkuu alijiuzulu kwa kashfa ya uwizi sijui utapeli ajifunze kesho.

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Maswali mawili?

1. Je huyo Rebecca Mngodo naye ni mbunge wa CDM? ndio kwanza namsikia leo kwa mara ya kwanza!

2. Je, huyu Prof Abdallah Safari, UKAWA wameshamtafutia jimbo la ubunge! I have the feeling kwamba anatakiwa kuwa MP comes to Nov 2015
 
Hiyo list ya viongozi wa CHADEMA ni vema ikahudhuria huo mkutano kwani watu wanataka kuja kuwaona hawa makamanda. sasa mkianza kusema Lema amebaki Magugu na makamanda wengine kama ilivyokuwa mkutano wa Corner bar Kijenge mtakuwa hamtuoni kwenye mikutano makamanda. kumfanyia usanii mtu aliyekuamini ni kumpoteza kamanda naomba isijirudie.
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!
PEOPLE'S - POWER
CHADEMA - VEMA

Nini: MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA (W) YA ARUSHA MJINI

Wapi: KATA YA NGARENARO, VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI NGARENARO

Waalikwa: Wanachama,Wapenzi, Wafuasi wa CHADEMA & Wananchi wapenda mabadiliko

Lini: Ijumaa tar 05-06-2015

Muda: 8:00 mchana-12:00 jioni.

Wahutubiaji: GODBLESS J. LEMA (MB), MAKAMU M/KITI BARA PROFESA ABDALLAH SAFARI , MWENYEKITI WA BAWACHA (T) HALIMA JAMES MDEE (MB), JOSEPH HAULE aka PROFESA J aka The Heavy weight MC, Wabunge 13 wa Kanda ya Kaskazini akiwemo PHILEMON NDESAMBURO, GRECE KIWELU, LUCY OWENYA, JOSHUA NASSARI, PAULINE GEKULU, CECILIA DANIEL PARESO, JOSEPH ROMAN SELASINI, MCH ISRAEL YOHANE NATSE, JOYCE MUKYA, REBECA MNGODO,

Wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria bila kukosa

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasilianao.
WILAYA YA ARUSHA MJINI
chademaarushamjini@gmail.com

Hivi mtu anashindwaje kuanda HEADING inayoendana Na CONTENTS,
 
Safiiiiii magamba tumbo jotoo kila mmoja lina mgombe wake,

Kinana kanunu busi la kuibia tembo wazima wazima
 
Huu sio wa kukosa ila viongozi waje kwa wakati. Sio kujakuambiwa muda hautoshi kumbe wao wamechelewa kufika
 
Back
Top Bottom