Kweli kabisa mkulungwa labda nzu nzu nzu weeeee mamaaa nyukilia weeeee lakini sio ile nyuklia ya kina Albert Einstein au ya Los Alamos ya kina openweima.
Prof Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana. Kwa wale waliopitia physics department chuo kikuucha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguliwa fani hiyo

ukiondoa kuwa mwalimu wa chuo kikuu, jambo gani kubwa alilofanya marehemu katika fani hiyo ya nuclear physics ambalo limeacha alama kubwa kwa taifa la tanzania?
Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU