SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo.Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.
Huyu ni mwanangu na nampenda sana lakini ningemshauri (kama atauliza ushauri wangu) aachane na ndoto hii. Musoma mjini haiwezi kutoka mikononi mwa Vincent Nyerere. Naona CCM wana haha kutafuta mgombea atakayewarudishia kiti Musoma. Musoma hairudi tena CCMKuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo.Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.
Kuna tetesi kwamba Profesa Mujinja wa Muhimbili University atagombea Ubunge wa Musoma Mjini kupitia CCM. Marafiki zake wa karibu wamenitonya kuwa alishawishiwa na wasomi kadhaa wa Musoma akiwamo Prof. Muongo. Na zoezi hili la kumshawishi limefanyika kipindi cha mapunziko ya krismasi na mwaka mpya. Katika kushawishiwa huko Profesa Mujinja amesema apatiwe muda wa kufikiri kwanza kama ataendelea na taaluma yake au ataingia siasa, alinidokeza mtonyaji huyo. Haya sasa kama akikubali atapambana na Kamanda Vicent Nyerere wa Chadema.
Nani aliyepanga iwe miaka mitano mitano tu?wala isiwape shida musoma ubunge ni miaka mitano mitano tu