Profesa mshana anakula shavu rwanda;big up prof

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,369
24,090
Wapendwa nimemuona mze wetu mmoja kwa wale wa miaka kadhaa alikuwa chuo kikuu cha dar es salaam..prof mshana.majuzi nikiwa training nilikuwa kwenye chuo cha KITS
nikaona jamaa wanangaika kuangalia matokeo mwishoni nikaenda kuchek kama kawa supp wimbo wa taifa hamad sikuona disco..mwisho nikaona jina la prof mshana aaaahhh moyo uliburudika sana nikasema inapendeza kuona watu waliokuwa vyema wakitumika rwanda na kuheshimika...nikajaribu kumuuliza jamaa mmoja akasema hiyo jamaa ni kichwa hata kumpata shida ..nkamwambia safi sana kama mjuavyo mtanzania nikaruka upande wa pili nkamwona mze wetu nilifuurahishwa sana
sijaajua chuo alisaafu ama lah
Mungu akubariki uko uliko mzee mshana
 
Msomi ambaye sio Mbabaishaji hawezi kukaa UDSM kwenye politics, pale wanapaweza walimu wanasiasa, Lwaitama, Mukandara, Shivji, Luhanga na watu wenye kariba za aina hiyo
 
Msomi ambaye sio Mbabaishaji hawezi kukaa UDSM kwenye politics, pale wanapaweza walimu wanasiasa, Lwaitama, Mukandara, Shivji, Luhanga na watu wenye kariba za aina hiyo

Sasa kiongozi unamkosea heshima mwalimu wetu bwana huyu mzee tumetoka naye mbali sana na ni mzalendo haswa...kazaliwa Kilosa ati! Lol..

Harafu naona wa nyumbani port amekugongea senksi..hapana aise..mimi sikupi senksi yangu..maana unamdhalilisha mwalimu wangu kwa kumlinganisha na na akina Mkandara....Hapana Shivji ni mzalendo kabisa....chunguza kidogo you will know..last time nakumbuka alipewa Professorial chair pale Warwick akagoma kabisa. Sema tuu ndo hivyo ukiwa na damu ya mwalimu kwa TZ ya sasa ni ngumu kuthaminiwa...otherwise Shivji ile ni hazina ya taifa kwa wanaoelewa.....
 
Back
Top Bottom