SaidSabke
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 2,071
- 402
I support Mr Mbilinyi I think zanzibar deserves to be a region and pemba to be a district.Hawa watu wanatumia fedha za serikali ya muungano bila sababu za maana imagine wanao wambunge ambao wanapitisha sheria wakati sheria hizo sio aplicable zanzibar.mpaka zipitishwe na baraza la wawakilishi sasa kwanini wanapitisha sheria ambazo haziwahusu.Jimbo moja la bara huwa na watu zaidi ya laki moja huko zanzibar watu chini ya elfu kumi.kama si ufujaji wa pesa ni nini.