Whaaaaaaaaat..........!Siku hizi naona Naeng wanatesa!! Teuzi nyingi zinawaangukia wao!!!
Wananii, wale wananii na hawa wananii wameshatulositisha sana, ngoja tujaribu hawa!Siku hizi naona Naeng wanatesa!! Teuzi nyingi zinawaangukia wao!!!
Usiwaonee wivu basi, PCM inahusu.Siku hizi naona Naeng wanatesa!! Teuzi nyingi zinawaangukia wao!!!
Shuleni wale wa PCM tuliwaona washamba, hawakuwa na muda wa ubishoo, sasa hivi wanapeta na wameshawahiwa.ningelijua ningelisomea uhandisi
Inweza kuchukua muda mrefu kuwarudisha. Kuwarudisha ni strategy ya marketing na uchumi. Lakini, wakurugunzi wengi wa tpa wanateuliwa mainjinia, hawana strategies za utafutaji wateja. Yangu macho, labda ataleta miujizaAfanye hima awarudishe wakongo waliokimbilia Beira na Durban kwa sababu ya undezi uliokuwepo hapo bandarini dola elfu 1 moja sio mbaya zinasaidia kuinua mapato
sawa mkuu,ila kwa hawa wakongo sio kwamba ni wapya bali walikuwepo kwa hiyo kwa kubadilisha management na kuongeza ufanisi tofauti na ilivyokuwa mwanzo basi watarudi tu kikubwa kuwe na maboresho katika maeneo hayo ambayo ilikuwa ni kero kwao.Inweza kuchukua muda mrefu kuwarudisha. Kuwarudisha ni strategy ya marketing na uchumi. Lakini, wakurugunzi wengi wa tpa wanateuliwa mainjinia, hawana strategies za utafutaji wateja. Yangu macho, labda ataleta miujiza
Uhandisi ni miaka 4....serikali hii itakuwepo mpaka 2025..rudi shuleningelijua ningelisomea uhandisi
Kuwarudisha wakongo naamini hakuhitaji engineering, kunahitaji taaluma ya masoko. Hata miundombinu ya tpa ingeimarishwa vipi lakini kama policy za masoko zitaeendelea kuwa kama hivi hawatarudi. Wateja wanajali sana gharama na muda wa utoaji mizigo bandarini.sawa mkuu,ila kwa hawa wakongo sio kwamba ni wapya bali walikuwepo kwa hiyo kwa kubadilisha management na kuongeza ufanisi tofauti na ilivyokuwa mwanzo basi watarudi tu kikubwa kuwe na maboresho katika maeneo hayo ambayo ilikuwa ni kero kwao.
kwa Rwanda sio tatizo sema akidi yao aifikii ile ya wakongo kwa io bado tunawaitaji
Huwezi kuwarudisha wateja, wao wameshasema kama tutaendelea kuwachaji VAT kwenye mzigo wa transit hawatapitisha mizigo yao kwetu. Rais wako hataki kufanya hivyo so usitegemee mapya pale bandari. Hakuna miujiza bali ni mipango madhubuti.Kuwarudisha wakongo naamini hakuhitaji engineering, kunahitaji taaluma ya masoko. Hata miundombinu ya ypa ingeimarishwa vipi lakini kama policy za masoko zitaeendelea kuwa kama hivi hawatarudi. Wateja wanajali sana gharama na muda wa utoaji mizigo bandarini.
Inweza kuchukua muda mrefu kuwarudisha. Kuwarudisha ni strategy ya marketing na uchumi. Lakini, wakurugunzi wengi wa tpa wanateuliwa mainjinia, hawana strategies za utafutaji wateja. Yangu macho, labda ataleta miujiza