Profesa. Laurence Luoga amemaliza muda wake, atumbuliwe au ateuliwe tena? Nini Maoni yako?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,139
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mada yahusika,yule Gavana wa BoT aliyeongoza harakati za kupora pesa za Wafanyabiashara amemaliza mda wake wa utumishi pale BoT..si mwingine bali ni Prof.Laurence Luoga.

Rais ana fursa sasa ya kumteua aendelee na nafsi yake au amtumbue astaafu na kurudi kule Kwenye chuo Cha Jalalani.

Maoni yangu kwa kipindi hiki cha Samia ,naona amejitahidi kusimamia Uchumi vizuri hadi kupewa tuzo ya Gavana Bora wa Mwaka..

Mh. Rais ikikupendeza mteue aendelee maana mambo mengine ya hovyo yalikuwa yanafanyika ni kwa sababu za upuuzi wa Jiwe..

Licha ya kwamba ni Mwanasheria ila timu yake inasimamia vizuri sera za Uchumi so aendelee.👇
Screenshot_20220801-213443.png
Screenshot_20220802-093418.png
Screenshot_20220802-093324.png
Screenshot_20220802-092952.png
Screenshot_20220802-093010.png
Screenshot_20220802-093118.png
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mada yahusika,yule Gavana wa BoT aliyeongoza harakati za kupora pesa za Wafanyabiashara amemaliza mda wake wa utumishi pale BoT..si mwingine bali ni Prof.Laurence Luoga...

"Mh. Rais ikikupendeza mteue aendelee maana mambo mengine ya hovyo yalikuwa yanafanyika ni kwa sababu za upuuzi wa Jiwe.."
 
Back
Top Bottom