Sasa ulitaka waseme nini mkuu, hawana sababu ya kufanya hivyo na hawataki mashindano wao wanatizama tu huku wakicheka kwa dharaaau.....!
Nimesoma huko juu na kugundua Andiko lote litakua limejaa UPUMBAVU. Rais hajaomba msaada Namibia, Kaomba wawekezaji. Je huku ni kupiga magoti?Mtu akija kuwekeza hapa ndio kuomba Msaada?Umeleta story za simu,saa,nguo na mashuka nk kutoka nje. Je hivyo vitu vinakuja bure kama misaada?Hivi unaelewa maana ya Msaada?Unaketewa net au ARV na unaambiwa usaini makubaliano flani kuhusu madini na makampuni yao. Huo ni msaada au Biashara iliyojificha kwenye kivuli cha Msaada?Sikia,HAKUNA KITU KINAITWA MSAADA.Kama una AKILI TIMAMU utaelewa.
Jamaa anakodoaga macho utadhani mjusi kabanwa na mlangoAfu sijui nani alimdanganya kutoa macho kama ni dalili ya umakini au kuhofisha watu sijui ndo maumbile yake dah
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jamaa anakodoaga macho utadhani mjusi kabanwa na mlango
Kuna Niga mmoja aliwasifia hawa wazungu kuwa ni wanaume wa kweli walipohaidi kulipa kishika uchumba cha accacia
Ni nigga Yohane wa Chattle!Aliyewasifia wazungu kuwa ni WANAUME na kuwa watatupa kishika uchumba ni nani?
Aisee yaa kiungozi Mara kumi jokate kuliko huyu kalamaganda kibuduKati ya watu wa hovyo kutokea kuwa viongozi wa juu tz ni le prof. kabundi. Ni wa hovyo kupita hovyo yenyewe.
Hana hoja wala mifano hai yeyote zaidi kutumbua mimacho utadhani kabanwa na kimba baada ya kula. Mapera bila kunywa majiMuacheni Kabudi..ni genious [emoji123] maneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.
Nawaangaliaga tu.
kuongea ni wajibu wetu, kama ilivyo wajibu wako na haki yako. Ila mzungu yuko kimya sababu hahitaji kubishana na wapumbavuSasa kwa nini house niggaz mnatoka povu kama mlengwa mwenye Muzungu wala hajali anaitwa nini na nani?
kuongea ni wajibu wetu, kama ilivyo wajibu wako na haki yako. Ila mzungu yuko kimya sababu hahitaji kubishana na wapumbavu
[emoji23] [emoji23] palasamaki,kabaki tu kutoa mijichoHuyu ni waziri wa mfano.
Inabidi mawaziri wengine wa serikali ya awamu hii wafuate nyayo za huyo mzee.
Wanaposema kuna watu wameenda shule kusomea ujinga huwa hawakosei, huyu Palasamaki ni dalili ya wazi ya mtu aliyeenda kusomea ujinga.
Yale macho ya Palasamaki akiyatoa mbele ya mtoto. Lazima mtoto atalia sana.[emoji23] [emoji23] palasamaki,kabaki tu kutoa mijicho
Ukiahimisha akili kwenye tumbo basi huwezi kufikiri vema.Congratulations!!....honestly inasikitisha kuona mtu kama huyu ambaye kwa nafasi yake ana nafasi kubwa na nyeti ya kumshauri Mkuu ....lakin badala yake anazidi kupotosha na kuharibu zaidi. Shida tupu
Mimi ni msomi lakni siamini kama wasomi wa Tz wanaweza kututoa hapa tulipo. Kwanza wengi wa mapHd holder wana njaa Kali wanapopata nafasi hawawezi kuwa/kubeba njozi ya taifa.
Halafu issue ya uteuzi wa kumteua mtu ambae HAKUTARAJIA unamfanyia surprise ni hatari sana always they won't meet standards.