Profesa John Nkoma Usitetee Kampuni za Simu Bila Takwimu

Profesa John Nkoma Usitetee Kampuni za Simu Bila Takwimu

Amanikwenu

Senior Member
Joined
Dec 1, 2009
Posts
187
Reaction score
0
Katika gazeti la leo la The Citizen limemkariri Mkurugenzi Mkuu wa TCRA akisema kuwa kampuni za simu zina gharama kubwa za uendeshaji.

Katika hili tunaiomba TCRA iweke wazi gharama za undeshaji zilizokaguliwa na wataalamu huru za kampuni za simu ili kuweza kupata picha halisi ya gharama zao za uendeshaji ili tuweze kulinganisha na mapato yao.

Pia kuna haja ya kuwa na ukaguzi huru wa mapato ya kampuni za simu na pia TRA waueleze umma wa Watanzania ni kiasi gani na aina gani za kodi wanalipwa na kampuni za simu kila robo mwaka.
 
He is after 10% anaandaa mazingira ili makampun ya cm yapate mwanya wa kupandisha bei, ndg john wewe cm yako inawekewa salio la bure la kutosha kutoka serkaln,lakn geuka na waangalie wa tz wenzako maisha kwao ni magum mno.
 
Mi nilikuwa voda hakuna gharama wala nini? Bei inabidi ishushwe tu
 
Back
Top Bottom