CCM wanaamini kwa kuwa Diamond Platnum kwa sasa yuko juu kimuziki atawasidia sana kwenye kampeni tena hususani kwenye kukusanya watu wengi kwenye mikutano ya kisiasa.
Lakini nawadhibitishia kuwa Profesa Jay atanyakuwa ubunge na atawainua sana UKAWA kuingia ikulu sababu za kusema hivyo ninazo.