Kunywa soda,kesho piga mazoezi(endurance)saa nzima,uchafu wote unatoka mwiliniKwenye hili nakubaliana nae, sukari sio nzuri. Najisikia vibaya ninapomuona mtu mkononi ameshika soda.
Mafundisho yake mengine unaweza kuona kila mlo haufai kwa binadamu
Kula fanya mazoezi, si lazima uende gym.Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha.
Profesa Janabi amesisitiza kwamba vitu hatari zaidi kwa afya ya mwili ni sukari na wanga na wala sio mafuta kama wengi ambavyo hudhani, na kwamba mwili hautunzi wanga wala sukari, badala yake huvibadilisha kuwa mafuta. Hivyo, amewataka watu kupunguza matumizi ya vyakula vyenye sukari na wanga.
“Sukari ni ugonjwa hausababishwi na fangasi, hausababishwi na bacteria, unasababishwa na lishe, lazima tubadilishe mtindo wa maisha, mtakaopata nafasi mzungumze na mtu anayefanyiwa dialysis (kusafisha figo) ndio mtafahamu umuhimu wa kutunza figo,”amesema.
Profesa Janabi ameeleza kuwa kuepuka ugonjwa huo ni jambo linalowezekana kwa kubana matumizi ya chakula, kutembea kwa hatua 10,000 kwa siku, na kupunguza vyakula vyenye sukari. “Bei ya sukari imepanda juu, take advantage.”
Kula fanya mazoezi, si lazima uende gym.
Sio hivyo tu,kunywa soda chupa moja then maji lita moja na nusu....ina dilute yote unaenda kukojoa majiKunywa soda,kesho piga mazoezi(endurance)saa nzima,uchafu wote unatoka mwilini
kwani kuna ulazima wa kunywa hiyo soda?Sio hivyo tu,kunywa soda chupa moja then maji lita moja na nusu....ina dilute yote unaenda kukojoa maji
Hata hivi haifai mchanganyiko ni wa matunda mawili tu hapo hakuna ulichosaveJanabi anataka tuwe tunakula hivi sasa 😃View attachment 2906184
Namwelewa Sana Prof.JanabiMkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha.
Profesa Janabi amesisitiza kwamba vitu hatari zaidi kwa afya ya mwili ni sukari na wanga na wala sio mafuta kama wengi ambavyo hudhani, na kwamba mwili hautunzi wanga wala sukari, badala yake huvibadilisha kuwa mafuta. Hivyo, amewataka watu kupunguza matumizi ya vyakula vyenye sukari na wanga.
“Sukari ni ugonjwa hausababishwi na fangasi, hausababishwi na bacteria, unasababishwa na lishe, lazima tubadilishe mtindo wa maisha, mtakaopata nafasi mzungumze na mtu anayefanyiwa dialysis (kusafisha figo) ndio mtafahamu umuhimu wa kutunza figo,”amesema.
Profesa Janabi ameeleza kuwa kuepuka ugonjwa huo ni jambo linalowezekana kwa kubana matumizi ya chakula, kutembea kwa hatua 10,000 kwa siku, na kupunguza vyakula vyenye sukari. “Bei ya sukari imepanda juu, take advantage.”
Hata hivyo anakataa, anasema matunda hayachanganywi. Ukitaka tikitiki kula hilo hilo tu usiweke matunda mengine!Janabi anataka tuwe tunakula hivi sasa 😃View attachment 2906184
Ni vizuri kama unaumwa tafuta tiba badala ya kusingizia vyakula iwe wanga,,nyama,sukari,Mafuta au sodaKwenye hili nakubaliana nae, sukari sio nzuri. Najisikia vibaya ninapomuona mtu mkononi ameshika soda.
Mafundisho yake mengine unaweza kuona kila mlo haufai kwa binadamu