connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Ilani na bendera ya chama havina mpact WHO. Even cabinet ya WHO/UN haina interest na siasa, kama unakubalika na una vigezo utachaguliwa full stop, hakuna kona kona mleIngependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa. Pia akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
dawa zako unatumia vizuri?1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa.
2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
Huyu kibaraka wa mama Hashindi hata kwa DawaYule mwingine Marehemu Dk. Ndunguliele RIP yeye alitumia mbinu gani mpaka akashinda?
Maana sikuona hata kampeni zozote mahala popote zaidi ya kusikia tu kashinda
Huyu yeye analaana kiasi cha kila mahali afukizwe uvumba na kampeni kila pahala?
Kumbe akishinda atakuwa mwakilishi wa CCM?1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa.
2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
Yaani ndio mtamharibia kabisa1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa.
2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
Bendera ya ccm apewe1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa.
2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
Kama sisi watanzania wengi hatuangalii hilo bunge kibogoyo, ndio itakuwa hao WHO? Hata hivyo WHO hawalichukulii serious bunge letu.1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa.
2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.