Tatizo hana nuance.Ok, uchawa una malipo yake, hujarelate mimi napata malipo gani kutoka kwa Prof Janabi. Mtu ambaye hata hanijui kwa lolote.
Tuachane na hayo;
Prof Janabi hajiamkiagi tu na kuanza kuzungumza. Bali anapoalikwa na kutakiwa kutoa maoni hufanya hivyo bila kusita.
Kama hufahamu, moja ya majukumu ya msingi ya Wahudumu wa afya ni kutoa ushauri elekezi juu ya namna bora ya kujitunza. Na hili si lazima pawe katika kituo cha huduma za afya, popote pale anapohitajika kufanya hivyo.
Kuna watu wanafanya mitindo fulani ya maisha pasipokuwa na uelewa wa athari zake hapo baadae. Mathalani, wewe unavyonyonya nyuchi za warembo, unafanya kwa kuongozwa na hisia. Baadae unakabwa na saratani ya koo, unaanza kuja kutia huruma. Eti,laiti ningelijua!.
Sasa wataalam wa afya (akiwemo Prof Janabi) wanafanya majukumu msingi kuwasanua ninyi vijana na rika zote ili mchukue tahadhari. Tena ni ushauri bila ya shurti.
Unapenda kusikia ukiambiwa kula kupita kiasi? Lewa ugaregare ndiyo ujue kuwa hakuchanganyi? Ukiambiwa fakamia junk foods, ndiyo utajua huyu ndiye mtaalam sasa? Huo ni ujuha.
Tengua kauli yako kuwa mimi ni Chawa.
Vizuri umeambatanisha kabisa na kiapo husika ili tuweze kujadili kwa upana wake.Tanzania tuna Madaktari wa Moyo wangapi?
Unafikiri kwanini Kina Dr makubi,Kina Dr Ntuli Kapologwe na kuna Ma "CMO (Chief Medical Officer)" kibao Tanzania imeshawahi kuwa nao,umewahi kuwasikia wapi wakijitia umaarufu...
Tukubali kwamba kuna Maproff na Madaktri wanapenda kuonekana mitandaoni na kwenye habari na hii haikubaliki kwani ni kinyume cha ethics za kitabibu... (Hippocroatic Oarth)
Huenda ameamua kuwa upande wa kisiasa na sio upande wa kidaktri..
UKihitimu udaktari Kiapo cha Tano Ni kuapa Kutokujitangaza au Kuapa Kutokubali kutangazwa kwa manufaa ya Kada nzima.....
View attachment 2856421
Mkuu,Tatizo hsna nuance.
Hebu soma hapa.
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo"
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant, Nyagi na wote wanaopiga vileo vikali ili kukomesha mademu na mengine kama hayo. Prof J hata kwenye interview yake alisema kwa siku alikuwa anachoma sindano za laki 8,
Dalili za ugonjwa wa Figo
1. Kuchokachoka ambako hakuelezeki.
2. Kulala siku inakuwa shida.
3. Hamu ya kula inapungua bila kujielewa.
4. Huwezi kufikiria sawa.
5. Mwili unaanza kuwasha.
6. Miguu inaanza kuvimba.
7. Ukiamka asubuhi jiangalie kwenye kioo uso wako utakuwa wa mduara na kadiri siku zitakavyokwenda inapotea.
8. Taste ya chakula inaanza kupotea
9. Kupumua hata rafiki zako wanaanza kugundua harufu yako ya kupumua inakuwa si nzuri sana.
10. Tumbo kuuma
11. Usiku kutoka mara kwa mara kwenda haja ndogo
12. Haja ndogo kuanza kuwa na povu
13. Unaanza kuona chembechembe za damu kwenye mkojo"
Sawa hulipwi, basi sio chawa,Ok, uchawa una malipo yake, hujarelate mimi napata malipo gani kutoka kwa Prof Janabi. Mtu ambaye hata hanijui kwa lolote.
Tuachane na hayo;
Prof Janabi hajiamkiagi tu na kuanza kuzungumza. Bali anapoalikwa na kutakiwa kutoa maoni hufanya hivyo bila kusita.
Kama hufahamu, moja ya majukumu ya msingi ya Wahudumu wa afya ni kutoa ushauri elekezi juu ya namna bora ya kujitunza. Na hili si lazima pawe katika kituo cha huduma za afya, popote pale anapohitajika kufanya hivyo.
Kuna watu wanafanya mitindo fulani ya maisha pasipokuwa na uelewa wa athari zake hapo baadae. Mathalani, wewe unavyonyonya nyuchi za warembo, unafanya kwa kuongozwa na hisia. Baadae unakabwa na saratani ya koo, unaanza kuja kutia huruma. Eti,laiti ningelijua!.
Sasa wataalam wa afya (akiwemo Prof Janabi) wanafanya majukumu msingi kuwasanua ninyi vijana na rika zote ili mchukue tahadhari. Tena ni ushauri bila ya shurti.
Unapenda kusikia ukiambiwa kula kupita kiasi? Lewa ugaregare ndiyo ujue kuwa hakuchanganyi? Ukiambiwa fakamia junk foods, ndiyo utajua huyu ndiye mtaalam sasa? Huo ni ujuha.
Tengua kauli yako kuwa mimi ni Chawa.
Ni utumbo jamani siyo moyo πππNdiyo huyu anayesema tusile pilau nakachumbali moyo utapasuka?ππ
Kuna shirika linaitwa MDH na lingine Icap,haya yabahusika na ugawaji wa ARV nchini,sasa katika kuboresha ARVs kuna side effect imeibuka ambapo dawa hizi zinaumiza figo,client wengi wa ARVs wameripotiwa kuwa na matatizo ya figo,kuna watu maarufu nchini hibi jaribuni wanaumwa au walikufa kwa matatizo ya figo ula kiukweli walikuwa ni HiV victimsTatizo hsna nuance.
Hebu soma hapa.
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo"
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant, Nyagi na wote wanaopiga vileo vikali ili kukomesha mademu na mengine kama hayo. Prof J hata kwenye interview yake alisema kwa siku alikuwa anachoma sindano za laki 8,
Dalili za ugonjwa wa Figo
1. Kuchokachoka ambako hakuelezeki.
2. Kulala siku inakuwa shida.
3. Hamu ya kula inapungua bila kujielewa.
4. Huwezi kufikiria sawa.
5. Mwili unaanza kuwasha.
6. Miguu inaanza kuvimba.
7. Ukiamka asubuhi jiangalie kwenye kioo uso wako utakuwa wa mduara na kadiri siku zitakavyokwenda inapotea.
8. Taste ya chakula inaanza kupotea
9. Kupumua hata rafiki zako wanaanza kugundua harufu yako ya kupumua inakuwa si nzuri sana.
10. Tumbo kuuma
11. Usiku kutoka mara kwa mara kwenda haja ndogo
12. Haja ndogo kuanza kuwa na povu
13. Unaanza kuona chembechembe za damu kwenye mkojo"
Sana tu, anaweza kuwa nia yake nzuri tu lakini mwisho wa siku anaweza kutufanya sisi na Ng'ombe tukagombania nyasi. Maisha yenyewe mafupi usile uka enjoy unabaki unachunga afya wakati mwili umeumbwa kupokea kila kitu la viungo vinafanya kazi kuweka mambo sawa shida inatokea organ moja ikiwa hai perform kabisa au kidogo. Binadamu kama gari tu, ukiona taa imewaka ujue kuna shida, unaenda kupima unajuwa shida nini unarekebisha sio taa ya gari inawaka wewe unaendelea kuitumia tu mpaka inakuja ina fail. Na sisi ndio hivyo ukiona mwili wako hauko sawa nenda Hosp sio mpaka huwezi kutembea tena. Jamani kuleni, kunywa ishi maisha yako ila ushauri tu mdogo tembea kidogo usijiachie tu lakini kulaaaaaaaBinafsi sikuwah mwelewa na simwelewagi kabisa ana mikwara uchwala sana, Ni anatetemekewa sana mpaka aga nashangaa kunaniπ
HahaaaaaaNi Mkurugenzi MNH, Dakitari mwenye maneno mengi ka winga wa K.koo.
Ooh MNH yote inabomolewa na kujengwa ghorofa moja tu kubwa sanaaa, njoo sasa uone vimabango vilivyopambwa kila kona na ujenzi vibanda usiokwisha.
Mimi toka mdogo nakula pilau na soda mbili juu mpaka naenda uzeeni niko poa tu. Lakini kama hili lina ukweli kwa sheria za kiafya kama sigara inaandikwa hatari inasababisha cancer lakini hukatazwi kuvuta. Sasa pilau zineendikwa usile pilau na pepsi hata mahotelini ingepigwa marufuku, si hatari kwa afya. Pepsi zoe ziandikwe usinywe na pilau ni hatari ya utumbo wako. Au sio jamani
Afadhali, kumbe ameruhusu bia walao hata moja kwa wiki?Juzijuzi hapo nipo kili ya 6 kubwa mara ikanijia picha ya Janab aisee nilitetemeka balaa.Maana alisema kwa wiki bia 1 tu.
Kinyamkera wa MuhimbiliNi nani huyo huko Dar & Dom
Lipuli ya Iringakashindana na nani mpaka kapewa ubingwa?
Watanzania mna changamoto sana.Sawa hulipwi, basi sio chawa,
Ila jukumu la kujali afya ni la mtu binafsi aisee, na kama huyo jamaa angekua anajali sana angetengeneza muongozo mrefu unaojitosheleza.
Kwanza haya mambo ya vyakula unajua yalivyo shady, kuna makampuni yanafaidika watu wakiharibu afya zao.
Ila sawa tu, watu wengi tz hawapendi kukosoa mambo, ni kazi bure
Hizo dalili za ugonjwa wa figo na maneno ya nukuu ya moja kwa moja ya Profesa Janabi unavichukuliaje?Mkuu,
Tafadhali iweke vizuri hoja yako ili tuweze kujadili. Sijaelewa ama kicharazio chako kimeenda kinyume na ulichokusudia kuandika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anakwambia ukikojoa mkojo wa povu tu, figo kwishney [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nyingine kabisa, i didn't knowπ