Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Wiki hii nimefika Mwanga mkoani Kilimanjaro. Nimedhuru vijiji kadhaa kama Mgagao, Ngulu, Lembeni na Kwakoa. Hapo kwakoa nimekuta kitu cha hamasa sana. Kuna jengo kubwa mno la kisasa linajengwa na Profesa Ngoma.
Ni hospitali, chuo na kwa shughuli nyingine. Kwakoa ndipo alipozaliwa Profesa huyu, hakika mradi huu ni wa mfano kwa wasomi kukumbuka kuwekeza kwao. Profesa ngoma si wa kujikweza, lakini nadhani anastahili pongezi nyingi akingali hai. Wasomi wakifanya mambo makubwa ya aina hii bila shaka vijana wengi watapenda kuishi vijijini.
Naomba wanahabari wazuru kwakoa wajionee fahari hii ya mtanzania huyu.