TANZIA Profesa Augustine Massawe, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto afariki dunia

Sorry Kwa kuchanganya. Unamaanisha Dr. Massawe alikuwa mdogo wake mwl. Beda na Manningi?
Mwl Beda ndo baba yao kina Dominic,John,Fikiri,Simon na wadada.

Maningi ni baba yao Kina Frank na wengineo.
Hao wote ni ukoo mmoja na Dr massawe
 
Walau anao mchango mkubwa kuliko wenzake walioamua kuhamia kwenye politics na wanaukana utumishi wao waliosomea MIAKA nenda rudi
 
Sasa waziri mkuu kudanganya kuwa anachanjwa kuna ajabu gani?Kwani kwa mfano kwenye utawala wa Magufuli ambao ulikuwa unapinga chanjo mawaziri kufanya kitu kama hicho ingekuwa ni ajabu?

Waziri Mkuu wa Australia si mtu wa mchezo mchezo. Politicians wanatuhadaa kuhusu usalama wa chanjo ya corona na Mungu wa Haki yote atazidi kuwaumbua tu.
 
Poleni, na wote waliofikwa na misiba Mungu awape subira.


Covid-19 inapukutisha, na haichagui wakumpiga.
 
Kuwa kipanga yenyewe ni stress tosha, unauchosha mwili.....kama ilivyoandikwa 'akili nyingi huuchosha' mwili. Vilaza wengi ndo maana unakuta wamenenepeana maana akili haifanyi kazi yoyote ya maana zaidi ya ujinga ujinga......
Ok
 
Naanza kuogopa kama Muhimblili wameshindwa kuokoa maisha yake basi tujiweke tayari na corona. Upumuaji itakuwa ni corona

Usisahau kwamba Uhai wetu ni mali ya Mungu, na huyo Mungu ndie anayewapa hao madaktari akili na uwezo wa kutibu ndani ya mapenzi yake
 
Back
Top Bottom