Prof. Tibaijuka akiwa kata ya Bunju

Prof. Tibaijuka akiwa kata ya Bunju

Joined
Feb 13, 2013
Posts
22
Reaction score
8
Picha ya kwanza, Mh. Prof Anna Tibaijuka anakabidhi cheki ya Shs. 800,000 kwa mwenyekiti wa umoja wa wazee wa kata ya Bunju aliowaahidi siku ya wazee duniani alipokuwa mgeni wao rasmi

Picha ya pili, Prof. Tibaijuka akikabidhi kwa diwani wa Bunju Mh. Sharif Majisafi, vitabu 10 vya uthamini wa wananchi 3,990 watakao hamishwa kutoka eneo la Chasimba, mali ya kiwanda cha simenti Wazo Hill, kwenda Mabwepande.

Picha ya tatu, ni Viongozi kutoka mtaa wa Chasimba wakimsikiliza Mh. Prof. Tibaijuka kuhusu hatima ya mgogoro huo wa miaka mingi sasa unaelekea kutatuliwa.
Kazi inaendelea!!
 
Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    443.9 KB · Views: 212
  • 2.JPG
    2.JPG
    413.5 KB · Views: 191
  • 3.JPG
    3.JPG
    342 KB · Views: 185
mpaka akumbushe, hii sio bunju ni mabwe pande, kama ni buju ni bunu ipi?
 
Rais Kikwete kweli aliyaona. Mama Tibaijuka ni jembe!
1. Eneo la nyongeza baharini tayari analidai, Kimataifa.
2. Mji mpya wa Kigamboni unapiga hatua, hata Mh. Ndugulile kasalimu amri. Juzi nilimuona kwenye Luninga, wako pamoja
3. Sasa mgogoro sugu wa Wazo Hill Chasimba nao ndo huo unamalizika.
4. Mivinjeni kurasini kawahamisha kwa viwanja mbadala.
5. Loliondo usiseme-Wamasai na Wasonjo sasa meza moja.
6. Jimboni kwake Muleba kusini Audax Mutiganzi kasema kweli-Ni Bundi pekee wa kumlinganisha mama Tibaijuka na waliotangulia!
Sisi wanawake tunajivunia. Mama yetu, achana na kizazi kisicho na heshima, tuliowengi tunakuenzi.
 
Hapa naona Mama Tiba umebadili ID Kujipigia debe. Mi naonelea ni vema ukae na ID yako ileile na utaeshimika sana.
 
Rais Kikwete kweli
aliyaona. Mama Tibaijuka ni jembe!
1. Eneo la nyongeza baharini tayari analidai, Kimataifa.
2. Mji mpya wa Kigamboni unapiga hatua, hata Mh. Ndugulile
kasalimu amri. Juzi nilimuona kwenye Luninga, wako pamoja
3. Sasa mgogoro sugu wa Wazo Hill Chasimba nao ndo huo
unamalizika.
4. Mivinjeni kurasini kawahamisha kwa viwanja mbadala.
5. Loliondo usiseme-Wamasai na Wasonjo sasa meza moja.
6. Jimboni kwake Muleba kusini Audax Mutiganzi kasema kweli-Ni
Bundi pekee wa kumlinganisha mama Tibaijuka na waliotangulia!
Sisi wanawake tunajivunia. Mama yetu, achana na kizazi kisicho na
heshima, tuliowengi tunakuenzi.

kule jimboni kwake alihaidi kuwaondoa wafanyabiashara waliovamia eneo la hospitali kimeya,lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.
 
Rais Kikwete kweli aliyaona. Mama Tibaijuka ni jembe!
1. Eneo la nyongeza baharini tayari analidai, Kimataifa.
2. Mji mpya wa Kigamboni unapiga hatua, hata Mh. Ndugulile kasalimu amri. Juzi nilimuona kwenye Luninga, wako pamoja
3. Sasa mgogoro sugu wa Wazo Hill Chasimba nao ndo huo unamalizika.
4. Mivinjeni kurasini kawahamisha kwa viwanja mbadala.
5. Loliondo usiseme-Wamasai na Wasonjo sasa meza moja.
6. Jimboni kwake Muleba kusini Audax Mutiganzi kasema kweli-Ni Bundi pekee wa kumlinganisha mama Tibaijuka na waliotangulia!
Sisi wanawake tunajivunia. Mama yetu, achana na kizazi kisicho na heshima, tuliowengi tunakuenzi.
.....Msiniusishe na propaganda zisizo na msingi......
 
Vipi kuhusu ufisadi wizara ya ardhi na maafisa ardhi katika halimashauri nchini? Unafahamu lolote kuhusu mlolongo wa kupata hati ya kiwanja? Vipi kuhusu migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji, wawekezaji na wanachi? Walio jenga maeneo ya wazi je?

Mwambie bado kuna mengi ya kufanya na kwabahati mbaya kwa yale yanayomugusa mwanachi wa chini bado hayajayashugulikia.
 
Mlete mada pamoja na habari hii nzuri, lakini unaficha kitu! Waambie wana jamvi kuwa, Wananchi waligomea fidia ya Shs. 5,00o kwa square meter kwa sababu Mpima aliwapa fidia ya Shs. 15,000 kwa sq. meter.

Ngoma bado mbichi mkuu!
 
Back
Top Bottom