Prof. Sospeter Muhongo's latest CV

cv tumeziona nyingi sana wala hatuzihitaji. what we need ni utendaji tu> full stop
 
Nimjuavyo Muhungo ni mtu anayejiamini sana. Pia swala la kuwa mwenyekiti wa kijiji au kuwa kiongozi sioni kuwa ni sababu ya kutojua kuongoza maana uwaziri hausomewi popote. Pia tambua huyu jamaa amefanya kazi nyingi sana na akina Eli Bara dei na ndiyo walisema Iraki hakua silaha za nyuklia. Pia tutambue waziri anasimamia sera.

Cha msingi tuweke pembeni siasa chafu na tamaa ya pesa au utajiri wa mkato.

Kama Symbion wamehonga akimpigia balozi ndiyo ataogopa. Ujue hao mabalozi wako hapa kwa maslahi ya nchi na watu wao hasa matajiri wa madini na wafanyabiashara wengine. So Rais akasirikie ukweli upi. Tuache dharau.

Watu wakisimamia sheria tunawachukia, wakilegeza kamba tunawadharau. Duuuh
 

ha ha fact,mohamed al baradei ana kitabu cha huo mkasa,the age of deception.
 
Sisi hii cv inatuhusu nini?arudi tu kwenda kuendelea kukrem mawe yake tu
 
ha ha fact,mohamed al baradei ana kitabu cha huo mkasa,the age of deception.

Inaniuma mno kwa muhongo kuletewa zengwe ,tena lakupikwa. Ifahamike tu kuwa,ktk mshikemshike huu wa Escrow, Muhongo alikuwa "clean" kabisa just a way it was to Pinda.

Ila, chuki binafsi na uroho wa watu (naskia MENGI anatajwa sana hapa), ndio vumemondoa Msomi huyu.

Mungu atusaidie kwakweli. Inasikitisha mno.
 


Umeona eh!!
 

siasa za Maji taka ndo tatizo hapa tanzania
 
Jembe limerudi kwenye wizara nyeti, hakika Rais Magufuli hatojutia uteuzi wake.
 

Kama ulivyosema awathamini na awasaidie watz na aache dhana ya kwamba uwezo wao unaishia kutengeneza soda tu. Kauli kama hizo zinawaumiza sana watz ambao dhahiri wanaona nchi yao ni shamba la bibi. Hata hivyo mh rais katika mkutano wake na wawekezaji alimuonyesha msimamo wake kuhusu watz wawekezaji katika gas. Otherwise the professor has no problem.
 
CV ni makaratasi tu,utendaji Kaz ni tofauti kabisa.Alisema pesa za escrow sio za serkali lakini baadae ikabainika ni pesa za serkali.Sasa hapo uprofesa wake na CV yake vina umuhimu gani? Kama sio makaratasi tu
 
CV inapaswa ioneshe uhalisia ktk utendaji,

Elimu kubwa inapaswa idhihirike katika kutatua matatizo ya watu.

Bila hivyo, elimu hiyo itaonekana haina maana.

Hongera Mh. Muhongo kwa CV hiyo.
 
Hakudanganya alisema ukweli tatizo hatutaki kusikia ukweli zaidi ya blabla.
CV ni makaratasi tu,utendaji Kaz ni tofauti kabisa.Alisema pesa za escrow sio za serkali lakini baadae ikabainika ni pesa za serkali.Sasa hapo uprofesa wake na CV yake vina umuhimu gani? Kama sio makaratasi tu
 
<<< WEKA na ya SWAHIBA ''' mzee wa KIFO cha MENDE , a.k.a ndembendembeeeee>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…