Prof. Sospeter Muhongo's latest CV


Kwa ruhusa yako naomba Comment yako iwe yangu pia!.. I agree with u for 100%
 
CV nzuri wakati mwingine inaweza ikawa si sababu ya mtu kufanya kazi vizuri hasa ukizingatia nafasi za kisiasa zina changamoto nyingi kwani hata Balali alitolewa nje ya nchi ili aje kujenga nchi lakini mwisho wa siku yakatokea yale, ila huyu jamaa Muhogo ameonyesha mwanzo mzuri na anahitaji support ya watu japokuwa wakati mwingine watu kama hawa inapendeza kama wakawa watendaji na kupewa dhamana ya kazi bila kuingiliwa na wanasiasa wanasababisha gurudumu la maendeleo kwenda mbele
 

Reall impressive CV. But Mkuu, you should understand that he is not ''a one man army'' who could change everything by himself. He needs support, if no support we should expect a total failure. So far he has taken the right and impressive steps in combating major corruptions at his Ministry.
 
Reactions: Ame

Amini Amini nakuambia huku alikokuja profesa amepotea. Amekuja kujishushia hadhi. Ya Nundu yatampata Muhongo.
 

Inasikitisha sana wakati mwingine kwa namna watanzania wanavyofikiri. Hivi kweli inategemewa huyu professor aanze uongozi katika kijiji? Huo muda angeupata wapi? Viongozi wote wa hii serikali ya sasa walianzia uongozo vijijini? Kote huko alikoongoza anastahili pongezi na shukrani kwa kuiletea nchi sifa. Hana shida ya uwaziri zaidi ya kuutumikia umma kwa kutumia elimu yake. Kama wabunge hawana hatia katika kuivuruga Tanesco si yatajidhihirisha tu? Rasi Kiwete ana bahati mbaya sana kwa vile ana mengi ya kumchukiza kutokana na watendajji wa serikali yake ambao amewateua mwenyewe. Professor Muhogo atamsaidia sana.
 
Reactions: Ame
To Professor Muhogo,
You are a star with a flame to outshine the poor performers,
Keep this flame burning so that many can be touched,
It was a humble gesture to take the current task,
Many with your excellent CV and exposure many would not,
Personally I doubt if I would take up this sacrifice,
For the love of fellow Tanzanians, please do what is right!

To me and many others you made a sacrifice indeed,
To leave the UDSM and other global renewed institutions prestige and privileges,
To wrestle with a corrupted giant the Ministry of Energy and Minerals,
Please take courage clear up the mess you found,
You will be a hero to majority of Tanzanians,
Your adversaries will one day reckon and sigh and may be see the evil,
For the love of fellow Tanzanians, please do what is right

Do not worry if the system thinks you irk it,
Citizens of this country are terribly irked by the system,
Electricity in some villages with decent houses is a mystique ,
White elephants, poles and transmission wires but no transformers,
No electricity access for more than five to seven years,
Please rescue the situation bring some hope to these villagers,
For the love of fellow Tanzanians, please do what is right!

The wealth of the institution you lead is awesome,
Unfortunately it has been highly manipulated,
By who? foreigners and leaders all of corrupt nature,
The politicians looked and blessed the looting,
Gold, tanzanite, Diamonds Tanzanians have not seen the benefits,
You are not a politician please out do them and surprise us all,
For the love of fellow Tanzanians, please do what is right!

The awesome wealth will one day be depleted to witness empty pits,
During your era make sure this wealth touches Tanzanians even barely,
Then we will all salute the Mara born professional warrior,
A warrior of brains not of spears, machetes and the like,
Carrying a candle with a formidable flame to show the way,
Making a difference in the lives of Tanzanians by breaking the chains of corruption,
For the love of fellow Tanzanians, please do what is right!
 
huyu ndio amemfanya Dr Kafuma mbunge wa Igunnga amrudie Mungu aamue yeye na siasa basi, bali awatumikie wa bongo
 

Nitajie kijiji kimoja tu nchi hii chenye mwenyekiti mwenye CV kama hii ya Prof Muhongo.
 

Mkuu wewe ndo unajaziba....huyu mtu anafanya kitu kisayansi na sio kisiasa,,,kuwa kiongozi sio lazima uwe Rais Chuo kikuu au mwenyekiti wa kijiji...Wewe kama aliyo yafanya yamekugusa katika masrahi yako pole mkuu,Na wala usimsingizie Kikwete kua kachukizwa au kafurahishwa,,,Muhongo tuna muamini akiwa kama mtu wa falsafa basi hato fanya kazi just kumlizisha kikwete au wewe,,,ila atafanya kulingana na kanunu na sheria za nchi ilikutia tija katika taifa,,
Das Haben wir Gleich
 
Hapa CV sio issue, tunachotaka watanzania toka kwake ni atuelezee ameweka mikakati gani ya kuhakikisha kuwa michanga ya macho tuliyopigwa kwenye madini hatupigwi kwenye gas.

Nimepata nyepesi kuwa majamaa wanaofanya utafiti wa gas Mtwara wanaclam 1M USD kwa siku kama cost. Tunataka Profesa atuambie hiyo cost serikali inaihakiki vipi?

Manake wazungu wajanja na wezi sana, hizo gharama baadaye wataziingiza kama investment cost na utaona kwenye gas nako wanaandika mahesabu ya zero profit hivyo serikali na watanzania hatupati kitu tena. Mnaonana nae mwambieni atupe data sio story.
 
Kweli yupo vizur lakin naamin mfumo utamshinda, juz juz tumeona naibu wake ndo anasimamia na kukagua sehem za madin, kwanin hakwenda yeye Geologist??? Au anasubir aletewe report na mtu asie na utaalam na sehem husika then asingizie sio yeye aliyekagua?? Anyway nipo nyuma yake, tumpe muda zaid.
 

Mzee kwa taarifa yako, kama uliwahi kusoma kitu inaitwa "Maslow's Hierachy of Neesds", (of course you can google it as well), zipo tano na ya juu kabisa kupita zote inaitwa "Self Esteem". Huyu ameshafikia hapo na hahitaji chochote kile zaidi ya "urge" na "good faith", ya kufanya kazi. Kwa mfano, mhakikishie kuwa atakula, atalala, anaweza kukufanyia kazi bila hata kumlipa mshahara! Wapo watu wa namna hii, and is just one of them!
 
Nimeanza kuvutiwa na baadhi ya maprofessor waliotufunda pale UDSM.
 
Kwa CV yake alitakiwa kuikataa post ya uwaziri. CCM itamdhalilisha muda si mrefu.
 


je mheshimiwa mbunge aliangushwa ubunge kule igunga cv yake ikoje?? Maana alikuwa kamishna wa madini wizara ya nishati na madini akaacha taaluma kaingia siasa, sasa kaisha kisiasa maana kutolewa na mahakama si mbunge na serikali hana chake tenaaaaaaaaaaaaaaaaa,
 
CV nzuri lakini haina uhusiano wowote na kazi aliyonayo sasa.
 
Hii CV ni nzuri sana hasa kwa Academicians. Wapo wengi sana wa dizaini hii pale UDSM. Tunachotaka kwa sasa ni mapambano na si kingine. Kwa wale waliopita pale UDSM watakumbuka CV ya Prof. Luhanga hasa siku ya kwanza ya kuhutubia First Year pale Nkrumah Hall!
 

Chief, with that kind of a CV, he should be a one man army within the ministry and the gas/oil/minerals sector.
Yes, he needs support, but again with that kind of a CV, support comes automatically due to the work that the don does.
 
CV nzuri lakini haina uhusiano wowote na kazi aliyonayo sasa.

Matumula;
hapa ndiyo ulitakiwa umpongeze zaidi. Kama Cv yake ni tofauti na kazi anayoifanya na bado ana perfom utafikiri ameanza kazi tangu kipindi cha Nyerere, au wewe unasemaje? Unapendelea zaidi waliosoma PSPA halafu performance NIL, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…