Hopeless Muhongo, kwa vile watanzania hawana fedha ya kuwekeza, ndio anahalalisha maliasili zetu kupoolwa kutuachia mashimo. Mnamsifia kwa lipi katika hotuba yake ya leo. nilidhani ataongelea namna ya kuwawezesha watanzania wachimbe! Nyeree alisema myaache mpaka hapo mtakapokuwa tayari. Au kuwer na win win situation. critically thinking mind inayojali maisha ya watanzania hawezi sifia hotuba ya kibepari kama hiyo
Nina shaka kwa kuwa mwanzoni alishaweka kikwazo waziwazi kuwa wazawa hatuwez, Leo akisema mwenye kutimiza vigezo afike ofcn bado hatuna imani kuwa vigezo vimewekwa ili kumwezesha mtz ama kumfanya ashindwe. Tunawezaje kuwa na vigezo vya kumiliki ilhali hatuna sera ya kusimamia rasilimali nyeti kama hii?