mbikagani JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 3,107 Reaction score 1,782 Jun 14, 2017 #61 NGUMU SANA KUIPONGEZA CCM, LAKINI NI MBAYA SANA KUMPINGA MAGUFULI KWA HILI LA MADINI.
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,863 Reaction score 14,349 Jun 14, 2017 #62 Peoples......... Pawaaaaa
meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,830 Mar 21, 2021 #63 Ulimwengu unashuhudia leo
Hero JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 3,920 Reaction score 2,841 Mar 21, 2021 #64 py thon said: Prof safari ni msaliti aondoke hana tofauti na mghwira 😀 🙂 Click to expand... Ww hazikutoshi ndio maana hukumwelewa Safari!
py thon said: Prof safari ni msaliti aondoke hana tofauti na mghwira 😀 🙂 Click to expand... Ww hazikutoshi ndio maana hukumwelewa Safari!
N Ngurumoyaleo Member Joined Dec 6, 2016 Posts 53 Reaction score 75 Mar 21, 2021 #66 Kusema kizuri alichofanya mtu mwingine ni jambo zuri na pia kusema baya lake siyo dhambi. Kuna watu wanataka kusifiwa tu lakini hawataki kukosolewa kwa lolote, hiyo nayo siyo tabia nzuri. Ukipenda kusifiwa penda na kukosolewa pia
Kusema kizuri alichofanya mtu mwingine ni jambo zuri na pia kusema baya lake siyo dhambi. Kuna watu wanataka kusifiwa tu lakini hawataki kukosolewa kwa lolote, hiyo nayo siyo tabia nzuri. Ukipenda kusifiwa penda na kukosolewa pia